ila kupambana nazo ni ngumu sana isee hii vita ya kiroho kuandamwa na mizimu acheni mara kumi nisingezaliwa na huo ukubwa coz unateseka sna
2025-07-21 04:58:52
0
Kessy95 :
Mimi anaeniroga syo ndugu yangu na ameniandama kila leo , inshaallah nitammaliza wallah nmemchoka
2025-07-20 19:31:14
2
paulo darema.tz :
dah.nikweli.kaka
2025-07-20 16:20:28
0
Ray P tz :
sasa faida yetu nn kama tunateseka hv
2025-07-20 19:27:51
15
Merry Shanny :
daah Hadi nimelia maana nateseka saana😭😭
2025-07-20 14:54:14
10
samia_stores :
Nakubali sana brother 🔥🔥🔥
2025-07-20 13:27:33
7
mudrakh4153 :
upo sahihi kabisa kaka
2025-07-20 19:45:37
4
samia_stores :
Umeongea point
2025-07-20 13:28:54
3
mtoto wa mamangu :
brother naomba no yako please
2025-07-20 23:10:56
3
samoreen :
umejuajee mzee
2025-07-20 15:21:48
3
COME Pl@y :
ni kweli kaka m nipe mwezi tu lazima niwe manyanda m mmoja wapo ninauwezo uwo unaosema
2025-07-20 13:43:31
2
Dumana888 :
KEEP UP Bro, Nakukubal san
2025-07-20 19:21:31
2
Minna Zewere :
ni kweli kabisa
2025-07-20 19:10:44
2
latifaally260 :
yanii umegusa sana tunaandamwa sana
2025-07-29 17:03:26
1
Gift💖🌺 :
kaka ww ni mganga ama naomba jibu please
2025-07-22 16:53:56
1
Joyce Frank :
😭😭😭Sasa huu ukubwa unatusaidia Nini Kila ukivuka Hili linakuja lile 🙆🙆
2025-07-22 05:55:56
1
sketa yusufu :
sasa kaka unawwzaje kutatuwa kama ni mama yako kaka aomba unisahidiye kaka
2025-07-24 15:55:19
1
steven masunga :
ni kweli, hujakosea
2025-07-21 01:52:45
1
talatibo :
kama ninakuelewa ila dar vijana munasujudia sana mizimu
2025-08-16 04:37:04
1
user :
safi sana
2025-07-30 12:10:03
1
Key Boy :
kaka darasa linaanza lini
2025-07-21 19:39:45
1
Zelly💫 :
tufanye nini ili tuwe na amani na maisha yetu
2025-08-22 08:21:23
1
pretty janie💞 :
mimi nateswa na baba yangu mzazi nateseka sana jmni na ni mganga wa kienyeji kweli napitia magumu sana
2025-09-15 13:47:01
1
Middy Star👑👑 :
ukwel kka nkueerew
2025-07-21 10:10:07
1
Gwaja the don :
tunao kuelewa tunakuelewa
2025-07-21 13:27:01
1
vmoney :
ni kweli kaka
2025-07-28 13:18:38
1
Jules Youssef :
asante kusikia hivyo
2025-07-21 16:43:03
1
user410881532707 :
Nashida ndugu
2025-07-27 10:09:23
1
Baba@D, :
nakuelewa xn dogo
2025-07-25 17:43:56
1
كتلوني💙❤ :
Ninamsisha magumu sanaa ata sielewi
2025-07-26 20:30:01
1
Humphrey Burbridge :
🙏🙏🙏
2025-07-20 13:38:16
1
KIBADA :
kweli boc
2025-07-20 14:03:40
1
Bakari Boi :
shukran sana
2025-07-20 14:34:12
1
NAILAH :
yani nishida
2025-07-20 15:05:54
1
Nurath_56 :
🥰
2025-07-20 15:15:09
1
h@wa manyanda♥️🇹🇿💎 :
🤝 Nguvu moja
2025-07-20 16:07:37
1
flora lema :
nimeipenda stand ya TV yako
2025-08-08 10:00:37
1
zaitunimom :
nikweli kabisa kaka😭😭😭
2025-08-03 16:12:50
1
Namwa :
ni kweli
2025-07-20 17:38:05
1
Fathma Kazungu :
Exactly 💯
2025-08-10 08:03:50
0
𝐦𝐨𝐦𝐚𝐝𝐫 𝐬𝐚𝐝𝐢𝐪𝐮𝐞 :
kaka mahanda nisaidie keli nasema mimi maduwi vengui
2025-09-06 13:23:24
0
kalala :
🥰🥰🥰
2025-09-06 13:17:43
0
sophi :
🥰🥰🥰🥰🥰
2025-09-06 06:00:54
0
a :
Tunatesema na hili tufanye nini
2025-09-04 12:58:01
0
juma Matol@ :
ndoomana nlikufolw
2025-08-17 15:33:12
0
Zenadol Moh :
kaka mbona mambo makubwa hivi alafu pia me mambo yote ninayo najiona mkubwa kabisa lakini sifanikiwi kabisa kwanza pia ninapenda kusaidia sana lakini Mimi sijawai saidiwa 😭👈 ata nigale gale apo
2025-08-18 21:37:02
0
Mbozyo mwasipenjele :
🤓🤓🤓
2025-09-01 07:04:01
0
Nancy :
❤❤❤❤❤
2025-08-21 10:42:29
0
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm
homepage.