@avopatips: Tujifunze hapa kutoka kwa mzee, hii ni kwa wale ambao hawajaoa na waliooa pia. #avopa #mahusiano #ndoa #mwanaume #mwanamke

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 July 2025 15:50:44 GMT
1957305
91569
1101
9992

Music

Download

Comments

user7312332814925
datius :
yakwanza nitabia ukifata sura utapotea sana 😄😄 wanaokubaliana na mimi gonga like
2025-07-21 13:38:56
277
anny200
Anita💞 :
sura , dini , ukoo , tabia , kipato
2025-07-20 15:58:31
158
hilarykoech0
Kipkoech❤ :
Wenye sura mbya nani atawaoa
2025-07-20 18:35:52
21
joyce.agitsa5
luhya mumy :
mzeee umekosea tabia mwanzo izo zingine badae
2025-07-21 09:02:54
11
johnmm225
john :
ukoo amemaniisha nini
2025-07-22 10:35:25
6
sandante5
San :
Sura , rangi , shepu , tumbo , umri
2025-07-22 12:54:45
9
user4934706600258
Ev.wooby :
mzee hayuko sahihi kwa baadhi ya hoja mfano hoja ya 1,3 na ya tano hayuko sahihi kabisa kabisa.
2025-07-21 08:54:00
16
philanthrope1
philanthrope :
ya kwanza ni matako
2025-07-22 04:52:45
10
user2098140045666
Caïf :
Qui peut m'aider en français
2025-07-20 23:07:59
9
maleema08
Maleema❤️ :
Si mmeskia sura hapo eeh😂😂😂 aya
2025-07-20 21:18:00
30
samwel.twaky
malecka,,malecka### :
nakupenda sana mzee wangu ,,mungu akupe maixha marefu na yenye baraka tele,,🥰🥰
2025-07-20 20:16:59
14
shebyally2
Sheby Ally :
ya kwanza ni tako 🤣
2025-07-25 22:25:46
9
eunicemonyancha
First lady❤️❤️ :
sasa kama amesema Sura Mimi mwendo nimeumaliza, so sitaolewa???
2025-07-25 06:46:20
6
evanzodee
EVANZO :
ndugu ukifuatilia huyu mzee wengi hamwezi oa🤣🤣🤣🤣
2025-08-07 14:32:12
5
lajoiefuraha619
Lajoie Furaha :
kabisa ubarikiwe papa 🙏🙏🙏
2025-07-22 09:17:16
5
edwardmligo0
gustafu :
kwahiyo wenyesula mbaya nani atawaowa kama ndo hivyo 😡😡😡😡
2025-07-21 18:27:52
5
iams751
i am s :
Kitako au kipato😂😂
2025-07-21 21:39:32
5
samwel.twaky
malecka,,malecka### :
asante xana mzee wangu lakin mm mwanao hujawai nifundisha io k2
2025-07-20 20:15:21
5
siahfelix489
siahfelix :
hawa wanaotaka kalio wapelekwe wap😂
2025-07-20 18:13:58
14
joy.nafula1
joy nafula1🇰🇪 :
sai ni nyash mzee juu kama auna nyash wewe sio bibi😂😂
2025-07-21 07:10:32
9
dizo.z06
Dizo24 :
mzee umekosea saana kutoweka tako kwenye sifa za uchumba, roo imeniuma saaana
2025-07-21 15:33:22
11
kelvinmutethia826
Kelvin Mutethia :
Amesaau Na nyash
2025-07-20 23:25:14
24
niite.steve.g
Niite Steve Øg :
mzee katupiga kamba kwny neno NDOA Maana yake au kirefu chake NDOA anasema DAIMA OMBENI AMANI. kasahau mwanzon neno N😅
2025-07-21 21:04:51
8
mzee_kijana1
Mzee kijana :
asante baba hakika mvi zimeota kwenye kichwa Cha Moja ya watu sahihi.
2025-07-21 15:22:47
5
bikedealer1
CHANGE GEAR🏍️ :
Nikajua ki Tako kumbe kipato😅
2025-07-20 18:06:02
28
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About