@bossbayzo: Inauma Sana😭😭....#Mwamposa #MwamposaTiktok #NabiiMwamposa #MwamposaPower #MtumeMwamposa #MwamposaLive

Boss Bayzo🇹🇿
Boss Bayzo🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 July 2025 06:33:31 GMT
766735
14438
444
210

Music

Download

Comments

sohia672
ma halima💝❤️‍🩹💛 :
duh kweli binadam tumeumbiwa kusahau nikikumbuka nilivoumizwaa na vifo vyao😭😭😭😭
2025-07-21 13:51:28
61
farqad.issa
Farqad_El miskir :
muda gan Kwan umepita mpka leo haufiki mwaka kweli
2025-07-28 19:41:20
21
user7328616194596
Rashidi enest msumari :
mungu azipunzishe kwa amani roho za wote walio pata umauti Amin.😢
2026-07-22 23:19:08
1
ibrahimuntabintab
ibrahim :
pumuzikeni sarama hata sisi tupo njiani🤣🤣🤣
2025-07-21 16:39:59
36
ester.sanga02
Anna ❤💞 :
nimewamc sana nduguzangu😔
2025-08-10 20:35:45
1
user9471981175957
mama moureen :
dada yangu neema @ mdogo wangu brigett moyo wangu unavuja dam siku zote tunaumia mungu atusaidie sijawah kusahau hata
2025-08-05 17:55:00
8
ummuzunairah
lozzy kitchen 🥗 🥘🍔 :
Mbon mnatuumiza hiv😭😭😭hakuna ninaemjuw ila hawa watu wamekufa kikatil mnoo 😭😭mpk naogop wallah Allah awahurumie na awaingize pepon Inshallah, miongon mwa vifo ambavyo ukifa unasamehew makos yko bas ni kuangukiw na jengo hii iwe asbab yakuingizw pepon Inshallah 🙏🙏🙏
2025-08-05 22:00:00
7
matilda.zellah
Matilda Zellah :
mafuta maneno Yako watoto wangu waliokumbatiana hawajafa wanaishi na hawatakufa kwa unabii wako wa kipepo hao ni kaka na dada mama Yao ndo Mimi hapa
2025-09-06 06:22:19
4
lizzy.wa.sk
Lizzy Wa SK :
Mtu ukifa picha yako inapoteza nuru mungu atupe mwisho mwema
2025-07-23 10:08:50
8
nurukagirls
🦋NOUR🌸 :
daah mwanangu wizzy side mimi bado nakuombea dua family yangu works 💪😢😢
2025-08-19 07:34:14
1
www.tktokzawadi1luxe
💎zawadi. Luxe💎 :
Mbona huyo wa mwisho walikumbatiana alipona
2025-08-15 22:41:15
0
user97942261240210
@mamyfeisal :
Mwenyez Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
2025-09-05 18:11:20
1
teddy_chakupewa
Teddy chakupewa :
mungu awapumuzishi kwaamani awape raha yamirere
2025-09-04 11:42:20
2
user9027882988441
Z :
mumezoe au
2025-10-03 19:26:32
1
user34402863271138
Dennis :
wapumzike kwa aman jaman japo inaumiza
2025-07-21 08:57:19
13
rose.john468
Rose John :
mungu awapuzishe kwa aman
2025-10-14 19:47:42
1
user80343094046394
user80343094046394 :
Ee Mungu tusamehe waja wako RIP ndugu zetu
2025-10-13 10:06:38
1
user85545032556317
salome♥️ :
jaman mm nahofu tu maan ndo tunaelekea mwisho wa mwak kila mwaka hutokea visho vingi tumwombe mungu na tufanye toba
2025-09-18 13:23:05
1
winne.alex
Winne Alex :
munguwalazepema pepon 🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-02 10:15:51
1
user76305381679808
YOUNG AGRIPRENEUR :
ila uyo mdda wa kwanz aliniuma aseee duh😭😭😭😭😭😭
2025-07-21 11:25:26
3
factog3
FACT Og :
kila nafsi itaonja umauti
2025-08-05 18:34:12
3
nestokanuti
Nesto Kanuti :
mungu atupe mwisho mwema🙏
2025-07-21 16:17:47
4
aminaalii83
قلبي 🫀 روحي ❤️ :
Mungu Awape Mwangaza Wote Walio Tangulia Mbele Za Haki Na Atupe Mwisho mwema Waja Wake
2025-07-21 20:15:17
2
elizah.amoll
elizahamoll :
Mungu wapumzishe kwa aman
2025-08-06 17:37:20
1
angelmwakyusa8
AM GRATEFUL🙏 :
dah💔 umenitonesha kidonda japo hakuna yyt anae nihusu hapo lkn iliniuma sana😭
2025-08-04 18:04:48
3
To see more videos from user @bossbayzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About