@lotiff_enterprises: ๐พ Mashine ya Kupiga Mpunga Gunia 10 kwa Saa! Inafaa kwa wakulima na biashara ๐ช โ๏ธ Inatumia umeme ๐ na mafuta (petrol)โฝ ๐ฐ Bei: 1,700,000 TZS ๐ Tegeta Nyuki, Dar es Salaam โ Tanzania ๐ Piga sasa: 0762 535 301 ๐ Usikose fursa hii โ panua uzalishaji wako leo! #MashineYaMpunga #KilimoBiashara #AgriTech #Mpunga #KilimoTanzania
Lotiff Enterprises Tz
Region: TZ
Monday 21 July 2025 11:53:23 GMT
Music
Download
Comments
baraka Lushanga :
vp mna jenereta yakuvuta maji
2025-07-22 11:21:58
2
patricebishariza :
machine nzuri
2025-07-29 17:25:43
1
joshualume3 :
bei gan Sasa boss
2025-07-21 14:40:09
1
ziyaad :
ni bei gani?
2025-07-24 17:42:45
1
Faunely Kikula :
Tupe bei box
2025-07-21 17:41:23
1
christinasaid229 :
..shida ni kukata mpunga nakuipa ndo ipge,si Bora combine,hii inasaidia kwa wanaowah kama njia imefunga
2025-07-24 11:27:15
1
MARTIN ..M..... TUNGU :
inauzwa sh
2025-07-22 11:46:20
1
aldonjavike :
nahitaji mashne ya kupga maharage kama ipo
2025-07-22 13:37:05
1
CHAMPION :
lazima niipate
2025-07-23 18:30:02
1
ndohele masalu maduka :
gunia 10 sawa je, inatumia lita ngapi kupiga gunia kumi hizo?
2025-07-23 18:37:26
1
JUTOKAN :
Sasa mnaweka bila bei
2025-07-21 15:21:40
1
Alex Edward :
naomba maelekez zaidi
2025-07-22 17:46:04
1
Joseph@50 :
okay je hinapatikana kwabeingani et
2025-07-23 15:38:59
1
mariamkazinza :
pande gani mnapatikana
2025-07-23 06:08:35
1
chiefnyamoye :
bei gan hiyo Niko simiyu bariadi nahitaji na mm
2025-07-22 15:26:20
1
NENGA :
wasukuma wasione hiii
2025-07-22 12:32:12
1
BRAY SON :
mpo nyuma ya muda
2025-07-21 15:50:37
1
JESUS FIRST :
Bei gani?
2025-07-21 16:07:03
1
magaka Jay :
na Je inayotumia mafuta Kwa lisaa inatumia kiasi gani mafuta
2025-07-21 12:56:47
0
magaka Jay :
ya umeme bei gani
2025-07-21 12:56:21
0
Paschal Bepe :
bei gan boss afu naipataje
2025-07-23 17:57:53
1
Faunely Kikula :
Unayo tumia mafuta
2025-07-21 17:41:43
0
kwibereja Joseph :
Inauzwaje
2025-07-21 13:04:13
0
Father Bishop โ๏ธโฆ๏ธ :
weka bei na inapiga gunia kumi kwa bei gani
2025-07-21 14:26:43
1
Chumay :
good
2025-07-22 19:41:18
1
To see more videos from user @lotiff_enterprises, please go to the Tikwm
homepage.