@aboubakarsadik01: #Tiba

aboubakarsadik01
aboubakarsadik01
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 July 2025 20:45:03 GMT
949725
21619
523
4382

Music

Download

Comments

rachel_kim06
Nanah ♊️ :
haya pia mtuambie kabsa kubeba mimba ni chapuuu ukitumia mchanganyiko huo😂😂
2025-07-22 08:11:58
49
onearmy2023
onearmy22 :
dawa ya infection 1. Tangawizi kidole kumba 2.Kitunguu swaumu 5-6punje 3.kitunguu kizima 4.karafuu robot kijiko 5. maji glass 2 Chemsha vzr asubuhi utakunywa asubuhi na jioni ndani ya siku 7-14
2025-07-24 07:58:04
141
leilabakari348
leilah bakari :
jaman nilikua natokwa na uchaf wa maziwa nimetumia nimepona kbsaaaa
2025-07-22 05:34:16
127
bella.murei
bellamurei :
please kingereza saumu ndo nn
2025-07-22 18:02:40
4
reenbeibamoreen
user2937926547442reen :
am living testimony
2025-07-23 18:00:54
5
user84849719395828
mariam mkumbo 💕 :
Wiki tatu zilizopita nlikuwa nakunywa ili nijitibie tu mpk leo nna mimba nmekoma
2025-07-22 19:50:51
32
user7743790385730chimamy
user7743790385730 chimamy :
Nilijua wataka kusema unatawaza
2025-07-22 07:03:31
9
flower_cosmetics1
flower_cosmetics :
Jamani ukitumia karafuu unaconceive haraka ata kama hujafikia ovulation😂
2025-07-22 07:54:57
11
neema.kitamkanga0
Neema kitamkanga :
kweli dokta mm natumia hiyo inanisaidia sana hata kama hupati ute ute wa uzazi ukitumia hii inasaidia
2025-07-22 05:28:35
10
yuster679
yuster :
mim mbona nikitumia karafuu naingia period .au naweza nikatumia kitunguu maji, tangawizi na kitunguu saum?
2025-07-22 06:54:29
6
khanifa224
Maaulidy :
sasa glass 2 unatumiaje siku 7
2025-07-22 12:25:08
5
dinnah.js
D.j💫💋💞 :
samahan dokta kiuno kinauma sana alafu natokwa na uchavu usioeleweka una mchanganyiko wa damu..
2025-07-22 11:46:23
9
luizy.msophe
Msoffe outfit :
angalizo mjamzito asitumie na kama hutaki mimba kuwa makini siku za hatar usitumie hii dawa
2025-07-22 10:18:34
5
reby06531
reby❤️ :
Mjamzito anatumia
2025-07-22 05:01:34
5
nailamohamed56
mamanaa :
kweli kaka inafanya kazi Mimi nilitumia
2025-07-22 04:59:28
18
user9516142282281
ma muda❤️💕 :
nilikunywa nikablid atar hapa naogopa mimba tu
2025-07-23 16:07:52
1
gladyskhabetsa
Gladys glady :
karafuu ndio gani?
2025-07-22 19:13:42
5
dianaerasmus97
Diana Erasmus :
Yaani ukifanya hii unawahi kupata matokeo ambayo hukuyatarajia (Mimba) na baada ya hapo ndo kupona kuna fata😂😂😂
2025-08-04 07:54:01
5
user1189705162271
asmah :
Doctor nahitaji kutumia hiyo dawa ila mbna wanasema unabeba mimba kwa haraka
2025-07-23 09:02:18
1
wahidialawi
Wahidi Alawi :
vip wale wake zetu walio na ukavu sehemu za siri wakati watendo
2025-07-23 05:19:03
0
chris_wayne_ke
Chris Wayne KE :
mtu anieleze kitunguu maji ndio gani
2025-07-24 05:38:50
2
estherwambui01
Esther wambui :
kitunguu maji ni gani please?
2025-07-22 12:46:30
4
anko.j55
LUKAKU OF AFRICA :
hasa sie wanuka pumbu😝😝
2025-09-10 22:32:21
0
amisho43
Amish :
What if ukienda haja ndogo napata harufu sio ya kawaida
2025-07-22 12:07:28
4
user7502734282698
irene michael :
jaman mm sinapat hedhi huu mwez wa Tano na Sina mimba hospitali nimepew dawa lakn sioni matokeo na nahisi dalili lakn haitoki kabisa
2025-07-23 14:01:04
1
To see more videos from user @aboubakarsadik01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About