@tiffany_store_tz: And i prepared a room, nani anapenda manukato ya oud na asumin flowers kama mm? 😍

TIFFANY STORE TZ
TIFFANY STORE TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 July 2025 14:34:30 GMT
266181
9226
601
873

Music

Download

Comments

jasmineavatar
Jasmine avatar :
Hivi kwenye show ayawezi kuingia matakoni 😃
2025-07-22 19:24:42
194
kiddo_cosmetics
kiddo_cosmetics :
Wanaume wengine utasikia toa matakataka kitandani 🤣🤣Hawako romantic
2025-07-23 08:29:07
70
beingme432
just me ❤️ 💐 🌹 :
wengine twafanya hivi mume haji kulala 😂😂😂
2025-07-23 09:59:11
35
nasraajit
nasraajit :
Tifaa mshono bado mbichii huo utafumukaa🤣
2025-07-22 15:42:38
58
amberrachely
Amber Rachely :
Siku nikifanya hiv utaskia umeanza ushirikinaa😂😂😂
2025-09-16 09:53:54
19
abu_khaleed01
Abu_Khaleed01 :
Ebu Nifanye Nioe Mie 😫😫🤭
2025-07-23 19:37:21
9
bi_amina
BI__AMINA :
KUNA MIMI 🙌😩YAN HUU NI WAZIMU WANGU
2025-07-23 08:14:08
10
naftaryzabron
Sucrei :
ukute mdada wa kazi mtamu kuliko yeye, ndoa zinasiri nyie
2025-07-22 15:43:30
27
heroine953
Heroine :
Wangu akute maua hv 🤣atafoka uchafu
2025-07-23 04:52:00
14
sophyflowers5
user508202460105 :
Mungu awatunze wew na uzao wako,na ndoa yako,Nakupenda
2025-07-22 15:36:31
31
shaymaa_salim
user4083189351219 :
mambo yetu ya pwani asiejua maana usimpe maana
2025-07-23 10:01:57
14
ali.kidau
Ali Kidau :
Wanaume wa kipemba ndio tunaelewa hayo mambo ukiingia chumbani hutoki tena🤣🤣🤣
2025-07-23 12:38:37
12
lovelysasha4
Lovely Sasha ❤️ :
Kwan umepona mshono mah
2025-07-22 14:44:30
21
v999madame
Madam V👩‍🏫📚 :
yote haya mbwewe anakuchiti na mnuka jasho🤣🤣
2025-07-23 05:35:58
6
chamababy8
user5748765774080 :
hizo asmini hazina madoa
2025-07-23 07:07:47
5
zamsa782
Zamsa :
mamb ya wazanzibar haya 🥰wenyew tunaopenda tujuane hapa 🥰🥰na ka uddi wa Oman hapo haruf mpk wasem bc 😂
2025-07-23 13:57:34
6
user67091228116978
Tiffah wa baraka :
mda wa kufanya ivi nko bandarini nauza supu
2025-07-23 05:12:15
8
mamu4393
mamu :
mashallah mie mwenyewe napenda
2025-07-22 19:32:16
5
tee_sultan
tee_sultan :
Mimi nitaomba uwe somo yangu sasa nitafute mume sasa 😂😂🙌🙈🙈🙈
2025-07-22 18:54:22
6
asha.jumbe3
Asha Jumbe :
Allah awahifadhi❤️❤️
2025-07-22 16:50:13
5
shishybeiby
Shishy.Baby :
Me
2025-07-25 20:03:51
2
ukhtymuu8
Maryam❤️ :
nikiona hivoo natamani kuolewa chaaap🤣🤣🤣
2025-07-23 15:44:43
4
slaywhithsalma
Slay with salma 🦋❤️ :
Mambo niyapendayo wallah nikiolewa mume wangu atafaidi sana 😍😍
2025-09-17 14:49:11
2
ashurasalugabo
shuu outfit store :
ukuifanya hivi anapanda kitandani anavumbi kuanzia kichwani mpaka miguuni harufu inapotea
2025-07-25 18:02:04
3
sweetjeeh
nuhtrice 😍 :
husna sajent is taypngiiii
2025-07-22 21:07:36
2
To see more videos from user @tiffany_store_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About