@health_solutionstz: #creatorsearchinsights #tiktoktanzania #bawasiri #fyp #fyppppppppppppppppppppppp

Health Solutions+255758881601
Health Solutions+255758881601
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 July 2025 14:34:43 GMT
112254
2197
126
1020

Music

Download

Comments

madinahamis
mama Irene🥰 :
mm navyovyandan jamn nateseka san
2025-07-24 18:34:41
1
tifah853
tifah :
Kaka unajitaidi sana
2025-07-24 06:55:49
3
kingsalu90175230260067
king salu 3 :
bro hiv nikitu gan vinakuwa vina nitembea kweny tumbo
2025-09-24 04:09:43
1
user6900737813996
yusrabarha :
samahni kaka naomba unisaidie dawa ya kuondo michubuko sehem ya haja kubwa uku Kw pembeni ,maana ukijisaidia choo kigumu maumiv ni makl
2025-09-29 09:59:52
1
andrew.mdugo
Andrew mdugo :
nisaidie namba yako
2025-10-21 08:25:26
0
mangale97
mangale :
namba yako plz
2025-09-15 05:42:26
0
user7048594970952
sam :
unatumia siku ngapi
2025-07-24 10:40:16
2
salmah9194
salmah :
namba yako plz
2025-09-07 02:32:20
1
asiaally7
me 🤍 :
hata bawasir iliyotokana na uzaz doctor?
2025-07-24 12:50:04
0
user96177004095943
christina :
kwa mda gani mgonjwa atimiee
2025-07-25 10:44:29
1
jack.malima
Jack Malima :
kwani vinyama vidogovidogo navyo ni bawasili maana sielewi
2025-09-25 17:56:19
1
harri614
boss mom 🖤 :
Kaka endelea kutufundisha,but yangu ni ya inje nifanyeje?🙏🙏🙏
2025-07-24 12:17:25
1
user6303247814574
user6303247814574 :
kama una vidonda vya tumbo haisumbui iyo dawa
2025-07-24 10:42:33
1
halimaabeid55
halimaabeid55 :
naomb dawa ya pumu
2025-08-07 19:21:25
0
bimzee50
Bimzee :
kaka mimi tumbo lilianza nina vidonda vya tumbo sasa hivi choo kwangu ni kigumu sana
2025-07-24 07:42:57
0
12evanson
Evanson Korir :
Kaka bawasili inanisumbua sana naomba unisaitie na dawa
2025-07-30 22:53:03
0
muna878005
🐿💕💕💕💕💋💋 :
@Sawdo Sawdo:kaka naomb nisaidie mm bawsil inanisumbua sana ya njee yan had vinyamaa vimejitokeza na kama miezi 5 half changamoto ipo kwenye choo piaa sipt choo kilain ataa siku moja sas sijui unanisaidia je kaka yang🙏
2025-07-27 11:19:04
1
tifah853
tifah :
Me nna 45 nasumbuka kaka niingia period naumia sana kaka
2025-07-24 07:03:58
1
yusufusimoni815
p cute :
up wp kaka
2025-07-30 23:42:36
0
foibejoseph
sarah :
namba yako uko wapi nikupigie unipe maelekezo vizuri
2025-08-07 12:50:49
0
user4609299590867
sosunyo :
kaka mm nilikua na uvimbe kwenye kizazi nikafanya op nw nimwaka wa 2 sijashika mimba nikaenda kupima tena wakaniambia nashida ya hormones
2025-07-24 18:20:43
0
user6884871695955
user6884871695955 :
Kama n mjamzito naweza kutumia pia
2025-07-25 03:29:55
1
abuumzalendo
BMwanjano :
tunaomba picha ya aloe vera isiyo sumu
2025-07-24 17:38:51
1
jane82024
jane :
@kama Waumwa Kwa ndani
2025-07-30 13:34:11
1
bimzee50
Bimzee :
tunaomba mawasiliano
2025-07-24 07:44:28
0
To see more videos from user @health_solutionstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About