@thekenyansportsguy: Harambee Stars boss Benni MCCarthy has cleared the air on why the team did not play in the Four Nations tournament in Arusha, Tanzania despite travelling to the venue #HarambeeStars #foryou #footballke #sportstiktok
😂😂 Huyu sura ni ya south Africa, but kiburi niya Kenya...😁😁
2025-08-12 06:53:34
620
Stella carey :
kiburi chake matches our energy 🤣🤣
2025-08-12 09:32:09
390
DEE :
Born in south Africa but his pride was assembled in Kenya😂😂😂
2025-08-13 20:28:51
310
Phoebe Thrift- Kenya :
Tanzanians,Kwa ufupi huyu coach (ama ni kochi) yuwasema hivi....
Kulingana na kiwango chetu cha Kimataifa ,uwanja wenu ni mbovu na iwapo tunaeza cheza hakuna hospitali yaweza kuwatibu wachenjazi wetu.
The pride of the coach matches our levels 😂😂😂
2025-08-12 08:39:02
444
Mboina Wambo :
but kenyans tuna kiburi ati we think highly in ourselves my goodness
2025-08-13 12:22:41
140
Nyang'ara❤️ :
Does TZ know they were accomodating millionaires???did you hear MISFORTUNE???
next time don't joke with us please 😂😂
2025-08-14 17:03:56
44
Hon. Ali Ali :
Kenyans we've our standards sio kwa ubaya Tz😅
2025-08-16 09:58:36
29
.. :
watanzania acha niwatafsirie anasema Kenya walifika Tanzania wakiwa teyari kabisa kwa michezo ya Chan Ila mazingira ilikuwa mbaya hamna vifaa vya kuweza kuhudumia wakenya kama hospitali, kama viwanja vya mazoezi mahoteli yaani sio pahali pazuri Kwa mazingira ya wachezaji wa Kenya, hawangeweza kutimiza ndoto zao katika mazingira hio wakaonelea heri warudi kenya ndio wapate mazingira mazuri Kenya ni hayo, nitarudi tena Kwa muktasari wa habari.
2025-08-13 20:37:14
108
Gibson malaa :
wangekuwa hapa na matusi ni vile hawajasikia msee amesema nini
2025-08-13 13:56:04
151
@Annie stitches. :
I love being kenyan...😂standards ni za Fardosa
2025-08-17 15:33:49
78
Faith oyugi :
Walikua wanataka millionaires wachezee kwa bafu😂😂
2025-08-14 08:38:48
123
Mauwa :
Fardoosa ametufunza never lower your standards to accommodate anyone
2025-08-18 20:08:01
7
chirry :
in short the facility was not good and the safety of the players was at risk😏😏 safety is paramount great coach
2025-08-10 22:52:50
65
Dory :
Na hereni zako kama shoga Kidawa
2025-08-15 14:27:04
5
Mckenna :
🤣🤣🤣matusi ya wa Tanzania Leo Yako wapi🤣🤣hii kizungu imewapita🤣
2025-08-14 06:54:02
45
Miss Joy Maina :
Million kadhaa tushapata kiburi 😅
2025-08-14 18:41:37
43
Ali Bazzuu🤠🫰 :
our Ferguson..😎😁Kenya lazima tuwe na kiburi sahi😁🌹
2025-08-12 09:38:50
33
SM :
Uwanja yao ya matakataka labda tutume commander afanye crusade huko
2025-08-14 14:07:47
16
Aisha Anny ❤️ :
Leo naona Tanzania hawako comment section kwani wameenda wapi ama hii imewapita😅😅😅
2025-08-13 13:23:00
52
Tarrey_B🦋 :
Huyu nae kiburi ni yetu 💯 🤣
2025-08-13 18:35:57
16
Quellen :
cha mhimu tulifunga Morocco 🇲🇦
2025-08-12 07:33:00
45
Luciana A :
sorry Tanzania nivile our kiburi can't allow us...
2025-08-14 16:39:46
12
Dr@gon🤞 :
In short we are not coming coz witches and wizards are all over
2025-08-13 18:02:13
34
it's jaber :
kumbe harambee stars had travelled to Tanzania and came back i didn't know about this did i just hear there were no good facilities na vile hao huringa chekesha 🥰🥰🥰
2025-08-13 07:31:45
81
Maggy Maggy ❤️ :
Kiburi ni ya mkenya 😅😅
2025-08-17 17:16:55
11
To see more videos from user @thekenyansportsguy, please go to the Tikwm
homepage.