Jinsi ya kujua mchoyo bila kumuomba.
1.Yuko na kitu mfano tunda bila hata kusema neno akurupukwa eti nitalila kesho.
2.Kuficha kitu kwa hofu ya kuombewa.
3.Kula kilafi kiishe haraka. Uchoyo ni kizalia
2025-07-26 10:01:01
1
Jenipher mkuyu :
🤣🤣🤣🤣🤣mwehu wewe mchoyo weweee
2025-07-25 08:48:27
1
Nai🌹 :
🤣🤣🤣kwa kweli
2025-07-24 04:40:11
0
Mary Mosha :
Nikweli 😂😂😂
2025-07-28 05:02:16
0
bakarichede :
really
2025-07-25 08:27:12
0
Slender :
Sio kwel
2025-07-26 07:07:10
0
WISE BOY :
😂😂😂 hii imekaaje wakurugwa huwez kumjua Mayal kama wew sio malay
2025-07-26 05:17:58
0
Johaness 2005 :
poor me zamu yetu ombaomba tumefikiwa
2025-07-26 12:00:19
0
Desi :
Wapo wachoyo wanaonekana hata machoni kupitia kauli zao za umimi (Ubinafsi)
2025-09-14 06:13:38
0
smile_sweet :
ndio maana umejuaje mm mchoyo kama hujaniomba tafuta chako
2025-08-02 18:14:58
0
janeth George :
Dodoma😁....Au bac
2025-07-24 12:16:20
0
To see more videos from user @sanideo.tz, please go to the Tikwm
homepage.