hata wazinifu Wana maneno Yao yakuihalalisha zinaa endeleeni kucheza ngoma mana sikio lakufa Hali sikii dawa
2025-07-24 10:19:44
14
Fatma-89 :
Hamuambiwi NI wakosefu. Nyinyi ni makhanithi haswa! Dufu lapigwa na wanawake.
2025-07-24 04:19:11
13
karage :
subhanaAallah badili tuelekezane kwenye dini twashindana kuhusu dufu au matwari na wakati kuna ushoga umalaya njaa zimezidi kwa majirani zetu na vp tutasaidiana?ushauri wangu as long as sote ni waislam na tumepiga shahada hukum timwachie mungu โบ๏ธ
2025-07-25 12:45:32
2
sharafizo''tz :
nipe dalili hiyo sheik yakupiga dufu,,,na yakusoma maulid
2025-07-24 03:44:48
4
Mshirazy Harith :
TUNAOMBA IYO HADITH YA KUPIGA DUFU KWA WANAUME ๐๐๐
wewe mtuma contet unajua maana ya wahabi au chuki tu na watu wa sunna
2025-07-25 06:50:57
0
Yusuf bin khatwib :
towa ushahidi mshenzi wwe hilo nitwari sio dufu tumia akili watu wabidaa wote ni wanafik
2025-07-24 17:53:10
1
user47658813586017 :
type dalili na sisi tuzijuwe
2025-07-28 18:24:01
0
Bashiru Mahalo :
Nyie masalaf mnadini kweli nyie mwatukana kama pekeenu ndo wenye midomo
2025-08-01 11:50:13
0
Abuuruwayda :
WW NI DJ UTATETEA TU๐๐๐๐๐
2025-07-24 19:22:18
1
Dirtycash :
Kuna fununu , huyu ana na Boyfriend ๐๐๐ณ
2025-07-26 14:28:35
0
ZFDC TV :
huyu mtoto apunguze maneno bado hana elimu. aendelee kusoma akakae kitako kwanzo
2025-07-24 10:43:57
1
myname1708@#$ :
nenda uko nguruwe
2025-07-24 04:18:08
1
Haji Mussa :
wapiga dufu wote majina yao kisheria nimakhanithi
2025-07-24 10:30:07
3
user8323506786101 :
Kuna Zambi gani kupiga dufu???
2025-07-28 20:22:18
0
suleiman :
kwahuรฝu mpiga gitaa kama mkiristo pumbaavu sana uyu jamaa hajielewi kama mvuta bangi
2025-07-24 03:44:53
3
ABU IBRA :
piga dufu utakavyo, lakini usiseme Maulidi vipi mtafanya Maulidi ya mtume s.a.w ambapo hakuna katika Uislamu wala AS'HABU NABII hawaja wahi kufanya wala yeye mwenyewe hajawahi kufanya na wala hatujui siku alie zaliwa nabii muhammad s.a.w
sasa uyo mwanamke wew walishikia nini den wao walipiga maulidi ama ilikua sherehe ya kutoka kwa vita
2025-07-24 13:36:39
0
Adam jilo :
ghaza yahitaji wakombozi nyiyi kzi yenu ni dancing tu hamna jipya
2025-07-24 10:44:42
0
Simba Chiwaka :
kama wewe nisimba kweli basi zungumzia jihad inayo nusuru uislam dhidhi yamakafiri
2025-07-24 04:40:39
3
Summy :
Hamna ayaa wala hadithi ilo sema mwanaume apige dufu acha kupoteza watu shekh ni halali kwa wana wake tuu allah akuongoze
2025-07-25 12:29:42
1
bin naaman collections :
Dufu lilipigwa na wanawake..na katika kupiga dufu ni miongoni Aina na makunduni ya burudani yani mziki..na tumeharamishiwa manaa hizi ni ala za mziki..jambo hili Mtume hakulifanya wala Sahaba zake..sasa nyie mwamfata mtume gani mana yeye hakulifanya jambo hili..huu ni uzushi mwamzushia mtume na wajua dhahiri kuw mtume hakufanya kitu hicho nyie mwafata nafsi zenu tu ila dini hairuhusu mambo hayo..sasa ww bisha ila siku utasimamishwa mbele ya Allah na wafuasi wako wanaokufuata katika njia potofu ndo utajua hujui
2025-08-17 01:27:22
0
To see more videos from user @_manhaj_tv, please go to the Tikwm
homepage.