@madamhero255: 🍯 “Asali sio tu tamu — ni silaha ya mvuto, kinga na neema. Ukitumia hivi… utashangaa kila kitu kinabadilika!” 🍯 🧿 “Hii NDIO SIRI ya ASALI ambayo wanawake na WANAUME wachache sana wanaijua… lakini leo nakufunulia!” ⸻ 1. ASALI NA MVUTO: 🟡 Namna ya kutumia: Kila asubuhi kabla hujakutana na watu au kuongea chochote, chukua tone 3 za asali na uweke kwenye ulimi au kidole kidogo upake midomoni, kisha sema kwa sauti ya utulivu: 🗣️ “Ninavutia, ninapendwa, napokelewa na kila mtu kwa upendo.” 👉 Hii inaleta frequency ya upendo, mvuto wa roho, na huruma kwa wengine kukukaribisha bila sababu. ⸻ 2. ASALI NA BIASHARA: 🟡 Namna ya kutumia: Kabla ya kuanza kazi au kushika bidhaa zako (hasa bidhaa unazouza), paka kidogo ya asali kwenye viganja vyako vyote viwili, halafu sema: 🗣️ “Kila ninachogusa kinakuwa neema, pesa na faida.” 👉 Hutengeneza nguvu ya kuvutia wateja, mikataba, na pesa. Wateja wanajikuta wanapenda bidhaa zako hata bila kujua kwa nini. ⸻ 3. ASALI NA MAHUSIANO: 🟡 Namna ya kutumia: Changanya tone 2 za asali na tone 3 za maji ya waridi, halafu paka kidogo nyuma ya masikio, shingoni au kifua kabla ya kukutana na mtu unayempenda au unaetaka kuvutia. 👉 Inatengeneza mvuto wa kimya, huruma, na kuamsha hisia za ndani — bila kusema chochote. ⸻ 4. ASALI NA MAOMBI: 🟡 Namna ya kutumia: Wakati wa kuomba (hasa usiku wa saa 9 au kabla ya kulala), chukua tone moja ya asali, iweke kwenye ulimi au mdomoni, halafu sema: 🗣️ “Ee Mungu, kama asali ni tamu, naomba maisha yangu yawe matamu na baraka zako zishuke juu yangu.” 👉 Inaleta maombi ya neema, upendeleo, na bahati nzuri, hasa kwa mambo ya ndoa, kazi au kusafisha njia za maisha. ⸻ 5. ASALI KWA KUSAFISHA ROHO (SPIRITUAL CLEANSING): 🟡 Namna ya kutumia: Changanya kijiko kimoja cha asali na kijiko kidogo cha chumvi ya bahari kwenye maji ya kuoga. Oga nayo mara moja kwa wiki, kuanzia kichwani hadi miguuni. 👉 Inasafisha mikosi, husuda, chuma, mikatale na roho chafu ambazo huchelewesha mafanikio au upendo. ⸻ 💥 “Usiichukulie asali kawaida. Ni baraka kutoka mbinguni — ukiitumia vizuri, utaonja neema ya kweli.#MadamHeroElixir #MadamHero #madamhero255 #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #MadamHeroZodiac #foryoupage #BraceletZaNyota #mvuto

Madamhero255♓️
Madamhero255♓️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 July 2025 05:13:22 GMT
35828
1403
45
135

Music

Download

Comments

ms_betty
ms_betty💕 :
mm hayo maji ya warid siyafahamu naombeni mnielekeze tanapatikan wap
2025-08-15 10:26:25
1
gracemack40
gracenyachilo@ :
madame je hapo kwenye maji ya walidi naweza kuweka rose water??
2025-07-24 07:45:39
3
mandredrabia
mandredrabia🦋 :
shukraan ,,Allah akubariq🤲❤
2025-08-14 03:29:51
2
phaustaawaki
💕💕Fighter💞💞 :
🔥🔥🔥 asanteeee ubarikiwe sana sana sana
2025-08-15 12:27:46
1
agustoir595
Pisces Queen♓🥳 :
asante madam😍
2025-07-24 11:24:53
1
eagle_mtasingwa
Eagle_mtasigwa :
Asante sana sister 🙏
2025-07-25 00:11:48
1
mamiemuntasirstore
Mamie Muntasir Store :
Shukhran habibtyyyyy🥰🥰🥰
2025-07-28 09:42:50
1
asaliasili2
Asaliasili :
karibuni kwa asali mbichi na fresh .
2025-08-03 20:59:04
1
nam3d_binah
nam3d_binah :
asali ni kiboko. naushuhuda nayo kwenye kupaka kiganjani asubhi hasa nikijua leo kuna hati hati ya kupata pesa.
2025-07-29 03:26:37
1
golden3995
@Linda's Glam Touch :
ya nyuki wadogo inafaa pia
2025-07-24 13:18:29
1
khoxaisanqueen
Sk :
Asante
2025-07-28 16:49:24
1
miss.marry00
Miss Marry :
maji ya waridi yanapatikana wapi
2025-08-15 21:07:38
0
rebecca_599z
Rebecca_599z :
hii kweli 🥰🥰
2025-08-14 12:26:12
0
iam_neyy2
Iam_neyy :
hatuchani nywele
2025-08-15 07:09:14
0
zakia28991
zakia :
Mm huwa napaka muda wa kulala
2025-08-03 09:18:02
0
pendo4900
pendo :
chumvi ya kawaida haiwezi kusaidiaa
2025-07-31 19:01:04
0
bertherlyabonga
Berther Lyabonga :
asante sana kwa mafunzo mazuri
2025-07-29 07:13:43
0
zayb79
Zainab Shangazi :
Shukran 🙏
2025-07-24 16:53:04
0
qweensiha0
qweensiha :
Mungu akubariki 🙏💚
2025-07-24 11:50:45
0
emma.moshi7
Emma Moshi :
Asante
2025-08-06 12:22:49
0
white_rose_13
white rose🤍 :
♥♥🙏
2025-07-24 07:33:22
1
lucyoutfits_tz
lucyoutfits_tz :
🥰🤲
2025-07-24 19:26:53
1
babrah.tz
Babrah :
@Mr Hoverbod
2025-07-24 17:03:15
2
hangibendera
Suleimani Abuu Bendera♍✨ :
✨💜
2025-08-02 13:00:21
1
africanqueen070
🌸Biruki🌸 :
🥰🥰🥰🥰
2025-07-30 06:06:03
1
To see more videos from user @madamhero255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About