apo mbona kama kona fulani ukitoka Dodoma kuelekea Gairo au nimepaniki
2025-07-24 12:46:20
2
j.road_life :
pale dereva wa Prado kapewa IST๐๐๐ ni michezo tuu
2025-07-24 08:14:32
9
GOD ALONE ๐ :
uliwahi ona wap mtu mfupi akapenda kudharaulika
2025-08-06 10:22:55
8
๐ฌDopยฃTz๐ฌ :
oi buiko ap kuelekea mombo
2025-07-25 14:33:25
2
Ibrahim Aloney :
ujakutana na kasongo probox mkuu
2025-07-24 10:54:53
12
Mr Zhongtong %% :
Sasa ktk gar ndogo znazotembea basi usije leta dharau kwa ist mkuu unaweza yatimba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2025-07-25 12:09:06
5
Landcruiser J60๐น๐ฟโจ๏ธโจ๏ธ :
emu acha kutudharirisha basi IST anakaaje mbele kaka nelvin anajua ili๐๐
2025-09-08 13:26:04
4
Romรซo๐ช :
Naona IST imechanganyikiwa haitaki fharau kabisa๐๐
2025-07-26 10:14:54
3
kibungara :
sio kujiaminj ni aina ya dereva anaye endesha.
2025-07-25 13:14:44
8
Suba Brown :
Haya bhn nyie wahini Mazinde๐ช๐๐ฅ๐
2025-07-24 06:36:09
5
freduallughano :
kuna jamaa kalimnyosha na mkonga 1hz,kitu watu hawajui ni kana hp 109 na 1hz ina hp129 halafu angalia uzito uzito wa gari na tofauti ya hp utajua kwanini vinatembea,watu wa mkumbo wanavidharau kumbe hawajui.
2025-07-25 08:47:53
3
Ambroseโจ๐น๐ฟ :
Kaka shida sio aina ya Gari shida Iko Kwa Dereva ๐๐๐ anajua namna ya kuhandle Kila kitu Kwa Road ๐ฃ๏ธkwahyo humuwezi ๐๐๐๐๐๐๐๐
2025-07-24 18:21:20
6
titosanga485 :
ni mindset yetu2 ila ni gari nzuri sanaร inakimbia na inakamata chini๐ฅ
2025-07-25 13:06:03
3
Kim Yanjan ๐ฅท :
Team ist tujuane๐ Hapa
2025-07-27 10:28:55
3
MBEYA BOY ..26 RIFE๐ค๐ฃ๏ธ๐ค :
familia
2025-09-15 20:32:58
1
Foremost :
Ist ni gari na nusu sema tatizo ni zimekua nyingi kama boda.
2025-07-24 19:17:15
2
dalali_byser_kigamboni๐น๐ฟ :
MBONA KM KILE KI IST CHA KUDAI MIKOPO ๐ฅ๐
2025-07-25 13:11:57
2
KIJANA WA SYSTEM ๐น๐ฟ๐ค๐ค๐คโ :
MGUU wa kenge uwo๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐๐
2025-07-24 13:20:10
3
Maryam Hamza503 :
Ndo zangu hzo napenda kukimbiagaaa na kibakuli changu full kujiamin๐ฅ
2025-07-26 10:06:24
3
@chief njonanje :
kwasabab hawataki dharau
2025-07-25 11:09:00
2
เธฌ๐ข๐ฅ๐ฅ๐ข๐๐ฆ.. :
tunawaisha barua ๐
2025-07-24 09:45:17
1
To see more videos from user @roadlifetz1, please go to the Tikwm
homepage.