kaka ndoto hizi nimeota mara nyingi sana ila Bado nipo under economy
-Kuota nipo na rais na wasanii
- kuvua samaki
-kuokota Hela
-kupaa
-
2025-07-24 12:20:24
7
.Success£@@09 :
dah kaka na mimi ivo et
2026-02-13 12:28:24
0
CHIEF JONAS :
daaaah
2026-07-10 11:51:47
0
Mr kigamboni :
nakukubali
2026-06-18 05:28:43
0
Mchopa :
mabonye
2025-09-19 18:29:34
1
Fand B❤️🩹y BIG 🐟fish🎱🥱 :
kila ndoto umeitaja hapo nilishaota saana tuseme kwa wiki mara mbili maraisi kama yote
2025-09-12 08:18:56
1
zaitunimom :
naota sana kaka lkn niliambiwa niuchawi Kupaa kuokota pesa nikaambiwa niumasikini kaka
2025-08-27 18:28:13
1
mekiy :
Kaka ndoto ya kupaa na yakuwokota shilingi zote nisha ota ila sijui nifanyeje
2025-07-24 21:54:50
3
sautiyahalima5 :
Mwisho juzzi nimeota Napaa😂😂😂😂
2025-07-24 13:25:24
1
CHIEF BWEYE :
nzuri ni ipi kuokota pesa ya noti au ya shilingi( sarafu) yaani coin,,,
2025-09-10 22:21:17
1
user60239060133054 :
kaka nimeshaota zote hizo ilamaishayangu bado magumu
2025-08-12 07:22:54
2
Da quester :
hiyo ndoto ya marehem nimeota juzi tu hapa yaan alaf kafa tena
2025-07-24 23:41:01
2
Jofrey Nossy :
mtaishaia kuota ndoto bila kufanya kazi ,nacho juwa mimi kazi bila malengo nikazi bule walipewa misingi nabado walifeli bro malengo pia yanachingia bro
2025-07-25 11:33:48
2
Issa Mnaijeria :
nakubari,sana,kk
2025-09-05 18:14:13
1
aziza :
Yaan hizo zote nimeota lakin sina hata mia
2025-07-24 17:28:21
1
Deus Anatory :
ndoto za kupaa na kuokota pesa naota sana ira maisha yangu nimagum sana
2025-07-24 14:10:10
1
Rose Mdee❤️ :
mbona naota vyote ila sina kitu naota napaa naokota naokota sarafu
2025-07-24 12:20:34
0
Meshaki dehommy :
hizo mbili nimeziota sana kupaa kuvua samaki
2025-09-12 06:49:32
0
Mr PoLiTe😔😔 :
me nshaota sana izo za kupaa mpka bas
2025-09-11 18:52:25
0
Munna Eid :
Yaani msipo kuwa Makin I na awa waganga wa tik tok ni shid uyu Ata miak 40 Kawa matabili wa ndot
2025-09-12 13:19:46
0
HABILION 🦅 :
ukiota umeongea na manyanda😅
2026-08-04 10:22:35
0
female King buddy buddy ❤️❤️ :
Ameen ameen ameen
2025-09-18 21:13:11
0
AGNES :
kuokota pesa sikunikiota hvo jua huo mwezi takuwanaukame wahela nibaalaaa tateseka tuuu
2025-09-21 16:54:55
0
fetty :
siku ixi kila nikilala naota napaaa napewa hela tena dolla hix ndoto zinajirudia sana
2025-07-24 18:26:32
0
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm
homepage.