@mamayukokazini: Leo ni kumbukizi ya Miaka 5 ya kifo cha Rais Mstaafu, Hayati Benjamin Mkapa. Aliyoyasema mwaka 2000 yanaendelea kusisitizwa kwa manufaa ya wananchi na ustawi wa taifa letu. #OktobaTunatikiSamia
Mama Yuko Kazini
Region: ZA
Thursday 24 July 2025 15:38:53 GMT
Music
Download
Comments
user24024190945116 :
Mitano tena kwa Mama yetu kipenzi 🙏🙏🙏
2025-07-25 15:16:41
1
Afrah shop :
kweli Kabisa 5 tena
2025-07-25 12:48:24
1
Salehe Kimenya🇹🇿 :
REST IN PEACE BENY✍️‼️
2025-07-24 22:43:35
2
Rughe Madevu :
ccm ndo inawagawa Wtz.
2025-07-25 17:14:40
1
Goodman :
mitano Tena Kwa mama Samia. ulinzi muhimu
2025-07-25 16:05:31
1
JOSHULE :
Tenda haki mama
2025-07-24 20:12:48
1
mwanaisha :
huyu mkapa hakushambuliwa ila samia anachukiwa bila sababu za kweli
2025-07-25 09:02:43
1
Sube Kichure :
uliwahi skia mtawala yyte hapa tz amefunga misikiti au makanisa ? mbona padri kitima kakosoa sirikali simmemwajibisha yy kwakumpiga take la sumu mbona hamjafunga makanisa yao huyu mama hana mshauli mzuli nasiku zote mwanke niwakuongozwa sikuongoza
2025-07-26 09:43:01
0
Larry :
achia sasa
2025-07-24 20:33:52
0
user24024190945116 :
Haya maneno yanapaswa kila kiongozi wa CCM kwa ngazi zote ayasikilize
2025-07-25 15:16:10
1
user24024190945116 :
🙏🙏🙏🙏
2025-07-25 15:16:21
0
Masagati162 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2025-07-24 17:30:58
0
MORO SHINING CLOTHES OG :
😂😂😂
2025-07-24 16:40:32
0
mr :
🥰
2025-11-07 16:11:22
0
To see more videos from user @mamayukokazini, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.