@hamisiallymahengo:

hamisiallymahengo
hamisiallymahengo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 July 2025 20:21:16 GMT
64174
1420
51
497

Music

Download

Comments

nancy75099
beldin betin :
ulisema tutumie vinega au
2025-09-06 19:57:58
2
king.dom015
king dom :
huyu jamaa dawa zake ni balaaa ukifata maelekezo mungu ambariki sana
2025-08-05 08:25:26
4
hawa.maziku
Hawa Maziku :
Naomba utufahamishe vizuri
2025-07-31 04:39:08
2
bella94299
Bella :
Mimi Niko na mgando wa. damu Kwa mguu wa kulia (clot) ni dawa ipi Bora?
2025-07-25 03:12:32
3
devota345
Devota :
naomba Tiba ya kushusha pressure 🙏
2025-09-03 10:40:57
2
user995341926696
lightness320 :
kwa aliyetumia maji yake sio machungu???
2025-07-28 09:37:15
1
user7166681381540
damari :
maganda kiasi gani na maji kiasi gapi pia tangawizi kiasi gani
2025-07-24 20:28:11
2
user34858750328475
Diomed :
chumvi ya mawe au ya kawaida
2025-07-31 10:06:48
1
stella.john242
Stella John :
naomba tiba ya kuondoa makunyanzi usoni
2025-07-31 09:32:46
2
ummykulthum4
ummykulthum711 :
machunguwa lazima maganda ya orange au hata yale yy green pia ni sawa kaka
2025-07-25 11:09:16
2
mag.mgawe
Mag Mgawe :
barikiwa
2025-07-26 21:02:05
2
mary.msaada
Mary Msaada :
mimi ni shabiki yako sana
2025-07-27 06:54:33
2
user6932674816726
Fatma :
Inapunguza uzito nakitambi
2025-07-27 10:56:59
2
babetok12345
babe tok :
kwa week hii ntashinda kwa wauza matunda kupeleka mfuko wa kuwekwa maganda 😆😆 ntakunywa kila siku hii
2025-08-28 18:01:38
2
jacklinemushi4930
Double Hh items :
unga maganda ya chungwa je si unafaa?
2025-07-29 12:32:34
1
florasilas820
Flora Silas820 :
hii naweza ngoja nianze kipindi hiki machungwa ni mengi.
2025-07-28 04:16:06
1
queenray6043
Rehema Masunga :
vipi kwa wale wenye madonda ya tumbo hiyo tangawizi haiwezi kuleta shida
2025-07-27 18:59:43
1
hawa.maziku
Hawa Maziku :
Hiyo pink solt inapayikana wapi
2025-07-31 04:38:42
2
user9323945290659
user9323945290659 :
nakunywa muda gani labda? asubuhi kabla sijala chochote au muda wwte hata nikiwa nimeshiba tayari naeza kunywa?
2025-07-25 06:12:19
2
araka552
arakazanailla :
nimacungwa yakuwiva
2025-07-26 13:09:53
1
ruxxy51
mama arar :
unaweza tumia tangawizi ya unga
2025-07-26 07:30:24
1
yamotoyamoto
user778126999520 :
kweli nimetumia unga waubuyu maumivu naona tatokeo mazuri bb Asante
2025-07-25 12:35:25
1
lee850945
Lee🦋♥️ :
unaweza ukanywa ata ukiwa ya bard au mbak iwe y moto
2025-07-25 12:33:01
1
oscarndenji
Oscar Ndenji :
BARIKIWA SANA, VIPI NIKI- BLEND ?
2026-07-16 15:35:54
0
user7374627320709
Moses gana :
mmnh hy matumbo jamani tutakula kila kitu
2025-07-25 09:53:45
2
To see more videos from user @hamisiallymahengo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About