@health_solutionstz: #fyppppppppppppppppppppppp #fyp #uzito #usa_tiktok #daressalaam

Health Solutions+255758881601
Health Solutions+255758881601
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 July 2025 09:10:48 GMT
253625
6602
256
2342

Music

Download

Comments

latifagodwin
latifa saimoni :
me nimemfatilia huyu kaka nimepungua mpka hera zangu zinaniuma nilizo tupa kununua madawa
2025-07-25 13:31:21
23
mohammed_kadar
محمد قدر🦦🍃 :
Kaka hizo faida zote ulozitaja ni zenyewe kabisa Ila kitu kimoja tu kunywa maji ya bamia (okra water) Kla cku ni hatr inawez kusababisha madhara kw cbb bamia Ina mucilage ule Ute ukinywa Kla cku unaganda na kukaliana kweny tumbo kitu ambacho kitasababisha kuwa na gesi nyng na kuharisha sana na k2 chengn bamia 4 sio afya bamia zikiwa mbili tu zinatosha unakata vipande vipande ukikata bamia 4 mucilage itakuw nyng sana tumboni just nawakumbusha tu EXCESS IS ALWAYS HARMFUL so lzm tubalance v2..na faida nyengn kubw ya maji y bamia ni kuleta ute mwingi kw mwanmke na kumfanya awe fertile..na kw mwanaume inaongeza sperm count na nguvu z kiume (libido) kweny upande w uzaz but faida zlobakia zote ni sawa sawa kwa jinsia zote mbili na vzr zaid hilo bamia uweke kweny maji ya baridi kuanzia usiku mpk asubuh then before kula kitu chchte Ndio unywe after 10 days you’ll see a results 🫴🏻
2025-10-14 10:47:31
6
vio.nya
vio :
Bamia ni nini kwa kizungu
2025-07-25 15:10:32
2
user28154015925013
DICKSON MWISHEHE KONDO :
Tiba ya kuondoa uvimbe wa tezi dume
2025-08-21 08:22:52
1
ndush70
nfridah :
Bamia ni nini?
2025-07-25 10:03:59
3
empresstaamu
Empresstaamu :
Bamia Ni okra
2025-07-25 19:23:46
1
jose_chikunde
Joseph Chikunde :
Muongo mbwa huyu
2025-07-27 10:55:18
0
user27205451019244
consi :
bamiya ni nini kwa kiswaili ya congo?
2025-07-28 18:47:11
1
sweashazy2
Sweashazy - 1 :
Vp,,,?? Kuhux Choo I nasaidia
2025-07-25 11:22:41
1
mama.c7289
Mama C :
Mimi bado nauliza vip ndimu/limao na vidonda vya tumbo vinaendana??
2025-07-25 20:27:12
3
guilainekavira85
Maman Guilaine Kavira :
Bamia ni nini kwa luga ingine
2025-07-25 17:13:03
0
aisha.abdalla362
aisha abdalla :
mabenda kiswahil cha mkenya
2025-10-21 18:16:06
1
user8802815593715
essy :
ongera Kwa hili,je mtu akuwa na thyroids anatumia nini saidia
2025-07-26 06:01:28
0
ingabire.bienfait
ingabire bienfaite :
kwa wale hawajuwi bamia ni ocra
2025-07-26 09:06:51
1
lilyhavan
Lily's Havan :
elezea bamia ni nini . kaka
2025-07-25 15:01:27
1
cheng.lee892
Cheng Lee :
kumbe ndiyo maana simenepiiii, dah sasa nitapunguza bamia maana hadi upepo unanisukuma
2025-07-25 16:11:40
2
violetamirah
chausiku :
lazima ndimu kwani Sisi Wa pylori turuhusiwi kutumia
2025-07-26 15:07:42
2
user1708548729437
Mama county😘😘😘 :
pamia nini jamani
2025-07-25 14:14:34
0
84yaki0
yaki mwenyewe❤️ :
Maji ni wekee moto ama baridi?
2025-07-25 09:54:27
2
gwantwa29
Gwantwa😊🦋 :
Bimia nilizoleweka kwenye hayo maji naweza kula?
2025-07-25 12:08:23
1
fogo_outfit
Fogo 🎭 :
Kwa siku ngap😂
2025-09-16 19:34:02
0
user16807528615367
mss25 :
kaka kama ni kweli takutumia hat ya maj
2025-09-23 13:22:08
0
vera37763
Vera :
Na ukiwa na acidity hii bamia na ndimu itasaidia?
2025-10-29 15:16:19
0
joashmusau258
Uasum258 :
What's bamia in English
2025-09-12 09:54:05
0
nyahururu18
Maishi :
Maji moto au baridi
2025-07-25 15:38:01
0
To see more videos from user @health_solutionstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About