Amini nawaambieni weng wenu mnaumizwa kwa kuishi kwa matarajio uku mkiupinga ahalisia
ila tambueni matarajio ni jambo la kufikirika tu bali uhalisia ndio ukweli wa mambo acha kujifariji labda atabadilika hayo ni matarajio tu nnachomaanisha akili ya mtu inakuwa inakwambia ukweli kuwa hapa hapanifai ila kwasababu ya watu wengi utaka kutumia hisia sehemu ya kutumia akili basi mwisho wanakuja kuumizwa mana hisia haijawai kumpeleka mtu sehemu salama iwe kwenye penzi kazi na vinginevyo ✊
2025-07-25 12:49:05
20
Differ girl :
mimi sijaolewa
2025-07-26 11:12:48
2
Mkapa Ivan :
kaka nakuelewa lakini nampenda sanaa daah 🥹
2025-07-28 18:09:43
1
De 👣 :
najitahid lakin ndo mke alienizalia najikuta nashindwa japo bado ananipa matukio 🥺🥺🥺 dah
2025-07-28 03:11:20
1
Baddie👄 Girl✌️ :
Mim ananiroga nkimsahauu naendelea na mamb ang badae moyo unaripukaa bila sababuu😢 unadhan hap una fanyj
2025-07-26 04:59:25
1
Password Truck Driver Tz🇹🇿 :
Wanaume wote mkamatwe mchinjwe tunywe supu sikukuu🙏
2025-07-27 07:08:04
1
Nasra Lyaganga ❤ :
naomb mnifundishe namna ya kumtongoza mwanaume kun mkak nimempenda
2025-07-25 13:55:51
2
darling ♥️🌹♥️ :
ila ngumu kwakias 😩
2025-07-25 18:39:19
0
ten hemed :
kaka u unajua paka unakelaa mungu akjjalie afya njema brother
2025-07-28 17:51:19
1
Aliudi Kibona :
mchezo wa like nikulike video zangu zote na mimi nalike zako zote kama upo tayali njoo DM
2025-07-26 07:34:10
9
ZEIN😊💦 :
Mapenzi yanauma kwerii🥹💔✋nimewachia nyie😭🫵
2025-07-28 12:31:16
2
nuran pop :
nakuelewa San we kaka🥰
2025-07-25 14:43:57
8
Sushi’s :
Kaka mbona ww unaliaga 😏 kwenda bwana
2025-07-28 18:52:25
1
love finaa :
hapo kwenye hera pazingatiwe
2025-07-27 19:12:33
1
Donae²김종영 😜 :
Mausiano yako naisia yana education
2025-07-28 05:50:43
1
Samwelly 2408 :
Kweli kaka ila walivyo wanawake ukipotezea more wanakuja ukiwafuat unatumia nguv kubwa we usifuate waach kam anakuitaj atakufata
2025-07-27 15:13:45
1
Salim@ Makrow :
je ikiwa huy m2 hakuambi kama anahisia na ww au hana na ukimuliz anakuw kimya na mkali na hatak kuulizwa huw mkal
2025-07-26 21:03:29
1
Ester :
nakubali kaka🥰
2025-07-27 10:42:31
1
Charikibonye Kibonye :
umeniona mimi😂😂😂 nakukubali mamen
2025-07-25 14:00:03
5
DayanBachani :
🥰🥰🥰 mm huyo Yaaani unapea mtu kila kitu then ak uache
2025-07-27 04:44:04
1
maiyar muneer :
Mida sana nimemwacha aende
2025-07-28 11:30:09
1
Yussuf sagi Maguru :
hakika
2025-07-27 19:20:21
1
Shebydarshy998 :
nakubal bro,point noted ✅️
2025-07-25 15:51:58
5
merjunia :
but inaumaa sanaa kuachwa jaman alafu ukiangalia mtuu ulimpenda sanaa
2025-07-26 20:20:01
1
vicentmuntenza :
safi sana
2025-07-27 07:56:21
1
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.