@nyotaraystv: GODAUNI YA MAGODORO YATEKETEA KWA MOTO MWANZA, IKO HIVI Godauni Moja ya Magodoro katika eneo la Mkolani Wilayani Nyamagana jijini Mwanza limeteketea kwa Moto leo julai 25, 2025 huku chanzo cha moto huo ulioteketeza eneo lote la Godauni na baadhi ya Mali za Karibu kikiwa bado hakijafahamika #fyp #trending #FYP