@marioo_bad: Dear Mama😢😭

MARIOO
MARIOO
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 July 2025 16:11:15 GMT
432397
40639
713
1738

Music

Download

Comments

officialjy4
@officialJy❤️ :
Huu ndiooo wimbo mpyaa au ety nyie watu wa tiktok nimetokea fb 😁😁😁😁
2025-07-25 16:33:22
51
officialchozilee
officialchozilee🇹🇿 :
Dear Mama🙏
2025-08-05 08:33:27
8
mchindi_ns
Mchindi :
Marioo umeanza na Shairi la Form 4 hilo.... sema watu hawawez elewa umetukumbusha mbali sana😅... "katoka baba mmoja toka safar ya mbali,"""?
2025-07-25 18:51:47
42
________afadah
ZEE🥷 :
Kama mamaako yupo hai gonga like apa 🙏
2025-07-25 20:05:40
1131
karenlastborn
karenlastborn :
Kama una amin Mama ako alipo dua zake 😢zinatembea n wew🙏like hapa 🥰
2025-07-26 06:41:32
368
frankmsafiri255
FRANK MSAFIRI :
huyu ndio Marioo sasa 💯🙌🏻🔥🔥🔥🔥
2025-07-25 17:06:47
10
am_albert10
am_Albert🎓 :
kwa wale wote wanaompenda mom yao iwe anaishi bado duniani au mwenyezi mungu kamchukua usipite bila Ku like hapa DEAR MOM😭😭😭
2025-07-25 16:17:56
290
salumshaban5
kendrick :
hii ngoma nimeitafta kila sehm siipati🙏 imenigusa sana
2025-07-26 21:38:58
24
oneeston1
oneka eston :
tulio tanguliwa mbele na mama zetu polen 😭😭😭😭
2025-07-26 13:40:47
63
faith78445
faith💜🍒 :
marioo huu mwaka Hana mpinzani
2025-07-25 17:36:15
86
stargirl.877
stargirl🕷️🕸️ :
Mungu awarehemu mama zetu walio tangulia Ameen 🙏
2025-07-26 11:28:20
111
215grandson
Grandson official :
marioo hivi hii mistar huwa unaibia wap maan nazid kukupenda tu yaan nakubal kaz zak 💯🥰
2025-07-27 12:15:42
7
mjqwavo
LOADING📈 :
Pole kwa jukumu la kusoma comment 😂😂😂😂😂
2025-07-25 16:21:26
60
ms.nolah0
onolatha :
rest in peace my mom💔
2025-07-25 16:27:19
137
user6112756749484
user 1212 :
omari na mboso wanani changanya,,,,
2025-07-26 07:14:45
7
saraphinaalbin
🌸💞Mama ariana👩‍👧💕. :
kama unaamini mama ndio mungu wa duniani tujuane apa🥰🥰🥰.
2025-07-25 19:42:14
17
adorable0448
سابرينا ❤️♎️ :
Allah mbariki na mpe Afya njema mama angu inshallah!🥰🥰
2025-07-26 08:44:21
14
bedasson_bedasson
Bedasson :
unae soma hii comment 🥰 mungu akulinde ww na familia yako🙏🇹🇿
2025-07-25 18:38:43
21
cee_koryc4
koryc_🎀 :
mnaomkubali marioo gonna like apa
2025-07-25 16:16:45
50
jephtanasoro
JEPHTA THE Tz💯💯✅ :
wangap 2naitaj hii nyimbo marioo haitoe
2025-07-26 13:01:45
7
starchadu5
Chadu +255 :
Legeza kidogo Kamba 😁 kaka
2025-07-26 22:43:31
7
ronaldotruckdriver
Ronaldo Truck driver 🇹🇿 :
Ee Mwenyezi Mungu, naweka kesho yangu mikononi mwako, uniongoze, unilinde,na unifungulie milango ya fursa njema. Ondoa hofu,fedhaa,na kila hali ya giza. Nijalie amani,hekima, afya, na mafanikio ya kweli. Niamshie neema mpya na baraka mpya. Kesho yangu iwe salama kwa mkono wako 🙏🏼
2025-07-25 20:44:16
16
itsmekendrick_12
IT'ZMEKENDRICK.. :
Aah huyu apewe ufalme jmnii🙌✨
2025-07-25 22:06:00
8
neemaanthony819
NeemaAnthony :
yaan mvua bado atujaikalili katoa nyingine jaman
2025-07-25 20:56:00
7
thebossladymasogange
Aggie Business 😍 :
hatimaee karudii kwass wanyonge😍
2025-07-25 18:35:55
6
To see more videos from user @marioo_bad, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About