@dr.fathy.saidi: UKITAKA AKUPE UNASHO KITAKA #NISIKILIZE KWA MAKINI #FANYA IVI

dr.fathy.saidi +27788529989
dr.fathy.saidi +27788529989
Open In TikTok:
Region: ZA
Friday 25 July 2025 17:42:49 GMT
2904522
116610
1793
19345

Music

Download

Comments

user6359813839939
Dada :
Dawa halisi Iko kwenye magoti..piga magoti mwombe Mungu akuelekeze🙏
2025-07-27 11:36:21
1719
officialmimah42
Official mimah :
Sawa lakini wadada tutafute kazi kwanza
2025-07-26 07:37:32
582
vero34770
vero :
nifundishe dawa ya kulipwa deni tafadhali.
2025-07-25 19:38:41
307
viceversa617
vice - versa :
waume tupo kikaangon🤣mung atulinde
2025-07-26 07:22:22
187
arafa.saidi44
Arafa Saidi :
iyo simoni ndonini
2025-07-25 17:57:52
64
nana.the.barista
Nana juice and fruits point🥤 :
Maji ya mvua nayapata wapi Dodoma hii jamani😂😂
2025-07-26 06:38:44
236
morehvincent
Moreh Vincent :
enyewe tangu nijoin tiktok nimekuwa mganga
2025-07-27 18:06:14
168
itsfay188
@itsfay🍱📌 :
Sio kwa yule mchaga😂😂😂😂😂😂
2025-07-26 09:31:20
80
binaa913
Binaa91 :
Sinomon ni mdalasini Sea salt ni chumvi ya mawe
2025-07-26 11:57:33
64
sarasweet23
sarasweet :
sisi wengine mapenzi yakweli yatoka kwa Mungu baba siyo yaku fosi
2025-09-14 13:37:29
8
user1912767952720
afsa love💋💋 :
uyo ni ushirikina jamani Tumuogope Allah ndo anaweza kila jambo
2025-07-29 00:40:23
11
priscilahmwakio
toppisterthomas@mailcom. :
mungu pekee ndoo dawa
2025-08-04 23:08:09
6
user66843366464
G,Baby :
Mungu pekee atoshaa kwani yeye akisema NDIO mwanadam ni nani apinge
2025-07-28 11:24:20
6
ley.queen53
ley queen 👸 ✨️ :
wadodoma tujuane tujadil khs hili jambo
2025-07-27 14:11:22
8
tabymjs
Taby MJ's :
Sasa tulikuja huku tukiwa watu wazuri mkatugeuza wachawi..... 😂😂😂😂, ni sawa tu🥰🥰🥰
2025-07-28 20:28:22
6
zorakipin
zora m🌹 :
nmekuja kutoa ushuhuda dada wewe kiboko bwana angu asikii aoni kwangu asante 🙏🙏🙏🙏🥰
2025-07-27 11:24:17
6
madame_rabia
Rabia :
nitamuomba mwenyez mungu peekeee
2025-08-11 19:58:43
12
khadija3315
Khadija :
Sasa ivo siyo ushrikina ??? Kweli ??
2025-07-26 21:33:45
10
3dida6
didashinsh@3991🥰 :
nimependa Hilo buibui Na mtandio ysbAllah waneemal wakil
2025-07-28 19:28:08
5
iamdemure5
Demure :
Jamani Sea salt ni chumvi ya baharini…. Cinnamon powder ni mdalasini wa unga….
2025-08-06 09:49:36
7
user9056147245944
July kemunto :
but si vizuri kufunga watoto wa wenyewe, tuombe mungi njia ya ukweli kwa kila jambo
2025-07-26 18:01:26
10
janethjoseph41
janethjoseph41 :
nikweli
2025-07-26 13:31:42
6
moise19860
moise19860 :
wewe umehongwa magorofa mangapi? wapumbavu watanaswa hapa.
2025-07-29 06:26:22
6
witnessnamala
baby girl 🌹 :
ela tunatafta wenyewe siku hizi hatutegemei hela za wanaume
2025-07-26 19:17:52
8
raelle771
raella🦋🦋🇨🇩 :
jamani mimi ni mu congomani yani sielewe iyo vitu kuna mutu aniandikie hata kwa kingereza na mimi nita badilisha kwa kifarasa kusudi nielewe??
2025-07-26 00:51:54
19
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About