mpaka nimetoa machozi baada ya kuoata tafsili ya wimbo huu zaman nilikuwag na uona kama wimbo wa warevi kumbe nd maan yake da umeniumiza saana unagusa histiria yangu mm
2025-07-28 15:02:03
4
JV :
mugu awabiriki wasomi kwa kutu tafsiliaaa wenyew hatuelewiii 😅😅😅
2025-07-27 12:19:08
4
Traveler :
full song please 🙏🏿
2025-07-27 09:16:36
0
Fro Fah :
Namkumbuka mjomba angu Cha pombe ndo nyimbo yake pendwa sasa sijui kama anaelewa maana ya huu umbo me ndo nimejua leo😂😂😂
2025-10-08 17:12:28
0
Elias :
remember me by lucky dube🥰
2025-07-27 20:16:03
1
Jose Tz :
daaaah moyo unauma baada kupata tafisili ya nyimbo hii
2025-07-26 14:11:42
4
Jovin Silayo :
full song Plz 🙏
2025-08-09 15:12:00
0
schön :
nimekusamehe baba angu pumuzika tu salama ni baada ya kuwa nikisikia hii nyimbo nalia
2025-08-08 20:55:48
0
Doreen samwely mbise :
waaaaaaooow 🥰🥰✍️
2025-07-26 12:55:26
1
Bariki soap kigoma :
imeniuma kumbe ndo MAANA hyo
2025-07-27 13:06:18
1
manchalemaswi :
good job
2025-08-07 21:01:03
0
Elly Moshi895 :
endele kutupa mijimbo ya huyu mwamba lack aisee maan kwenye hii tasnia ya rege aisee namkubali sana huyu mwamba aiseee wek nyingi
2025-07-28 12:06:10
0
Hanciiii_1918✊ :
hiii feeling noma sana
2025-07-26 22:02:56
2
Nasri Shayo :
Hii ngoma Ina historia kubwa na maisha yangu
2025-07-26 09:23:34
2
samwelimasumbuko1 :
endelea kutupa reggae 🙏
2025-07-26 09:43:14
1
Charles Jovinary. :
Nakumbukaa mbaaaaalii saanaa
2025-08-10 12:57:47
0
Jimmy🤦 :
Daaaa!Leo ndo nimeelewa vzl aisee🥺🥺
2025-09-02 06:52:54
0
Ng'wana @tz :
ubalikiwe sana wwe mutafasli wa hii nyimbo
2025-07-31 15:27:46
0
smart junior :
it so good
2025-08-13 23:49:34
0
gimartists0759893963# :
da mwamba aliimba kwa ichungu sana jamaa japo baba alimkimbia lakini bado alitamani baba yake amkumbuke na anmpenda tu daa
2025-07-30 17:39:18
1
@salum misai@04 :
🥰
2025-07-25 21:14:52
1
pretty lina🥰🦋🥀lone wolf :
🥰
2025-07-26 07:22:20
1
stanley Stanley :
♥
2025-08-13 11:11:58
0
juma :
👍
2026-09-14 19:57:22
0
Chazy_og :
🔥🔥
2025-07-27 05:05:10
0
To see more videos from user @famlyrics_, please go to the Tikwm
homepage.