@davisnziku3: Mke Wangu ana Mume Wake 😂😂😂

@davisnziku
@davisnziku
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 July 2025 14:39:33 GMT
153278
4653
478
1484

Music

Download

Comments

management.team22
Apex Management Team :
Tena kakuheshimu tunasemaga usiku mwema mume wangu...jamaa karudi😳
2025-07-28 06:53:45
88
triciaa2000
tricia2000 :
uwa tunaaga ucku mwema mmewang kipenz uyu kimburu kafika😂
2025-09-22 20:19:59
0
mariammkombwe
Binti pasco :
hiyo kawaida sana kaka sasahivi.mimi mwenyewe namume wangu ila mume wangu nae anamke wake.
2025-07-29 08:32:11
27
joycejoseph7502
Joyce Joseph :
mbona amekuheshimu san tunasemanga hili limeridi
2025-07-28 14:45:35
7
7448965676veeplus1
Lady vee+ :
😂😂😂😂😂tena anakuheshimu sana m naseemaga usiku mwema mme wangu naona huyu mbwa amerud
2025-07-29 09:50:50
9
wigesabinmahanda
wigesabinmahanda :
Kila mpenzi anampenzi wake
2025-07-28 16:41:33
11
maria.boniphace7
Maria Boniphace :
huwez upiga mwingi alafu nikunyime like😂😂😂😂😂
2025-07-28 04:43:15
21
berthayusuph285
Bertha Yusuph :
kaka sijawahi coment ila hii umeupiga mwingi😆😆😆
2025-07-27 19:21:01
10
user4232420822519
Aney dairy farm :
ushukuru hajasema hii ng'ombe imerudi mbona kakuheshimu sana??
2025-07-28 04:33:26
43
user9244875062307
user9244875062307DM :
kama ulivyo wewe unamke halafu unamke wako
2025-07-28 06:20:16
29
dimpouzhamis
BABA RAY,🏹 :
🤣🤣🤣 unamlisha na mahali umetoa halafu anamumewake na wewe ana kuita mbuzi🤣🤣🤣🤣
2025-08-25 05:18:23
2
muftiderham01
🌹MANENO 🌹YA🌹 DHAHABU🌹 :
huyo atakuwa wa mtwara😂🤣😂
2025-07-28 08:12:20
3
angelelias687
angel Elias :
mbn kawaida tu jamn 😅
2025-07-30 04:21:37
4
adilkix
adil :
ulikua unatafta nn😄
2025-07-26 18:07:08
9
funditz6
@Fundi :
usiku mwema mme wangu mme wangu amerudi nitakutafuta kesho🤣🤣🤣🤣kwy mme ww ndo umetakiwa usiku mwema
2025-07-27 21:11:20
5
innotheboy7
INNO the Boy [email protected] :
😂😂 wanawake wote walio olewa na wanawaume Zaid ya mmoja utawaona tu kwny Comments achen Umalaya Mchepuko hana shukuran nkubadilishana UTI sugu tu😂
2025-07-29 06:21:10
2
misha_decor
misha home decor :
🤣🤣🤣 Nimecheka sana
2025-09-19 11:28:23
1
yuggna
Mama Muu🌹 :
mchezo wa kulaikiana video tano😘 njoen
2025-07-28 07:08:37
9
user94017038067020
martha :
kwani shida ipo wapi sasa apo mbona ww mwenyew una mke wako njee ya mkeo
2025-07-29 07:35:39
2
rashidbakili
R.M.B. Cocktails🍹🍸🥤 :
ndio ukome kuchukua sim za mke kujitafutia shida kwan usinge fanya ivyo ungekutananayo hayo. km wake zetu tumeoa teyar walisha kua na mausiano we omba Mungu tu atulie bas
2025-07-30 11:37:27
1
anethjoseph0
Annie♥️♥️ :
Na wewe ulikua unaingia kufanya nn
2025-07-29 18:19:57
3
danielmunoko635
Daniel Munoko635 :
we ni ng'ombe kweli
2025-08-17 17:01:56
1
user5318586619495
felicious :
utajua hujui
2025-07-31 09:00:56
1
elizahowo
Ahlam🦋 :
Hyo mbona nzuri sanaa kuna ile ya “hii mbuzi imerudi”😂😂😂
2025-07-28 13:10:35
2
sebamlinja1
seba mlinja :
mwambie aende iwa mme wake
2025-07-28 07:09:46
1
To see more videos from user @davisnziku3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About