@yobo_rain_farm: ULIKUWA NI WASAA MZURI SANA NA WANAFUNZI WA KIHONDA SECONDARY MOROGORO TANZANIA 🇹🇿 @yobo_rain_farm tuliwapokea wanafunzi hao na kuzungumza mengi ,kuelimishana hasa namna ya kubadilisha taka taka ,na mbolea na kuzalisha products (vyakula vya mifugo)ambazo zitawasaidia mifugo katika ukuwaji na kuokoa gharama ya ufugaji na kuongeza uzalishaji na inahusiana vipi na UTUNZAJI wamazingira Vile vile kuunga mkono jitihada za serikali kuelimishana vijana ,na kuweza kujiajiri ni moja ya njia yakuwajengea misingi wanafunzi wetu WAKUE wakiliweka akilini Moja ya hivyo vyakula ni 📌 Azolla 📌 Duckweed 📌Mende 📌Black soldier (nzi CHUMA) Karibuni sana @yobo_rain_farm Tuzungumze ZAIDI kuhusu mifugo kwa jumla tuko Morogoro Tanzania 🇹🇿 WhatsApp number+255625406806 Normal call 🤙+255714060010 #phosphorus #calcium #protein #vitamins #minerals #minerals #fed #minerals #feed #naturaldewormer #livestock #foryoupage #livestock #1m #1M #shule #education #students #tanzaniantiktok🇹🇿 #government