@1.account.yangu.official: kiswahili Swahili tiba#kiswahili #swahilitiktok

sheikh
sheikh"SIMON"
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 July 2025 08:58:24 GMT
1542063
49107
779
19618

Music

Download

Comments

phanifih7gm
phannyphy021 :
Dawa ya cancer ya kisasi
2025-07-29 05:20:38
21
hassanhassanabdi0
Baba Abdihakim :
dawa ya makende moja ilifura...naomba.
2025-08-01 07:18:23
10
abdul.manaf4168
Abdul manaf :
babu mi nataka dawa mgongo
2025-07-27 19:57:14
16
jameskiugug
Jemohh Kiugs :
I did this one evening nakwambia asubuhi nilikojoa mkojo pure kama maji kwanza nilishtuka😳😳😳 nilikuwa nimizoea kukojoa yellow 💛
2025-07-29 13:19:35
17
user7681768810738
user7681768810738 :
hii dawa imenisaidia sana nilikua nafura miguu kumbe figo ndo zilikuwa na shida lakini kila siku asubui nilitumia kikombe kimoja saa hii nko mzima
2025-07-28 02:56:40
48
neemapetersulle23
@Iraqgirl💥💥 :
naomba unisaidie dawa asthma 😭😭😭
2025-07-30 17:40:51
9
kingd712
BlackDoctor :
Ndimu ndio lime a na limau ndio lemon
2025-07-31 11:46:38
6
user6958334239187
naijah bosslady :
mara ngapi kwa siku napia watumia kwa muda gani
2025-07-27 11:47:59
12
musachirinzi6
Musa Chirinzi :
dawa ya kuumwa na mikono n kufa ganzi
2025-08-02 14:04:22
14
tentin54
tentin :
shikamo babu, mimi nasumbuliwa namoyo kwenda mbiyo na pumzi ku shuka n'a mwili wote kuuma
2025-07-29 04:48:09
5
kenvoke037
kenvoke037 :
habari dr.niko n uvimbe kwe kitovu .walisema n limpoma ama hania.naeza maliza aje bila kufanyiwa opration tafadhari
2025-07-27 17:42:17
6
magiccake7
Magic -cake✨🎂🍰 :
Assallam Alleykum.. mm naomba dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi. umeharibika na pia inaruka ruka. mwezi wapata mwezi mwengine inaruka haitoki.
2025-07-28 10:01:00
5
unfiltered_chicdiaries
Andrea unfiltered 🖤🦋 :
dawa ya ulcers
2025-07-29 22:49:40
9
kebeshkah2001
Antonio de kama💕 :
na gesi kwenye tumbo
2025-07-30 19:16:15
12
mumruth12
linnet🥰 :
thanks am seeing this after my friend have kidneys failure😭
2025-07-29 12:00:26
6
wajay033
wa jay :
dawa ya Cancer ya titi
2025-07-28 23:46:06
6
enocklazarongusul
Enock MOG/sura ya kazi :
mama yangu anasumbuliwa sana na goti najisi ni disc zimesagika kwa anayejua dawa anisaidie Tafadhari.
2025-07-31 09:31:19
7
duadua7065
M :
hapo kwa lime na lemon?...
2025-07-27 16:51:23
7
charomusa316
Musa kitsao :
sawa babu kwa muda gani
2025-07-27 11:02:28
6
To see more videos from user @1.account.yangu.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About