@lighterherbalclinic1: ⚠️ Dalili za Acid Reflux • Maumivu ya kifua (yanayochoma, hasa baada ya kula) • Hisia ya tindikali au uchungu mdomoni (regurgitation) • Kukoroma au sauti kubadilika • Kikohozi cha mara kwa mara hasa usiku • Maumivu ya koo au koo kukauka • Kuungua koo • Kupumua kwa shida wakati mwingine • Kuhisi tumbo kujaa au kubanwa #feedback #cancer #feedback #koo #tonsillitis #unguja #zanzibar #kenya #zanzibartiktok #tonsillitis #kenya #zanzibartiktok #zanzibartiktok #pemba #bawasiri #zanzibartiktok #acid #hemorrhoids