@ibra_carter: kusema ukwel kama unataka kupungua vzr na haraka akikisha Asubuhi unakula protin ya kutosha i ili uepuke kuhisi njaa kila wakati 📍Karibu nikusaidie kutatua changamoto yako yoyote ya kupunguza Kitambi au Uzito ulipotiliza kwa njia salama sana na kupata Assistant ya yangu mpaka unapungua Usiache 👇 Kuwasiliana nami kwa ? 📌 Diet ya kuondoka Kitambi na Uzito 📌 Huduma ya Mazoezi ya nyumbani & gym 📌 Ntakuhudumia kokote ulipo (DM au WhatsApp 📲 0652785254 #weightlossmeals #gym #fyp #mealideas #Fitness #lossbellyfat

ibracarter
ibracarter
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 July 2025 07:17:07 GMT
1215132
23969
938
4341

Music

Download

Comments

umusabrin07
Mama Sabrinna ❤️🥹🥺💕❤️🫶🏻🫂 :
Guyz trust me mayai na nyama hunonesha 😫😫😫😭🙆‍♀️
2025-07-30 09:26:10
41
ceifadorsafari
Kauli ya MUNGU🇰🇷🇰🇷 :
labda Nile vyote asubuh
2025-07-29 05:10:53
294
naturalasilia
Natural Asilia. :
Siwezi kula mayai mengi hivyo 🥲
2025-07-28 14:08:01
80
kaluluz_outfit_kariakoo
Kaluluz_outfit_kariakoo :
Hapo Ndio chanzo cha kuamka usiku wa manane kutafuta chochote kitu 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 13:43:04
93
reene.com
Εἰρήνη :
::Nyiee Jmn baba yangu Christmas alinunua utumbo kilo 15 tulikula Hadi mwingine tukavaa vidoleni kama pete😹😹
2025-07-28 19:44:42
24
adelicious47
adelicious _cakes_tanga :
if u want to loose weight skip breakfast
2025-09-01 05:02:46
7
gracieben4
Grenny 🥰 :
siku ya pili nitakuwa ninaongezwa maji 🥲
2025-07-30 17:10:26
16
brendamsechu5
brendamsechu5 :
hapo ntaamka saa saba usiku nisonge ugali 😢
2025-07-29 08:10:26
24
faithnyabz29
fei :
Leo ni siku ya 4 2kg down, it works guys
2025-09-04 20:02:08
6
sakinamujibu
Sakina mi ~Alma :
mm ninvyopenda kula mpka niskie nahema ghaii siwezi iko kidogo sana🤣☺
2025-10-21 09:51:23
1
sean_mitumba_claasic_1
SEAN_MITUMBA_CLAASIC_1 :
Hayo maparachichi na mayai utajamba siku nzima
2025-07-30 13:53:09
5
maua6176
Maua🌸🌹 :
mchicha bila kaugali pembeni ntaeza kweli😂😂
2025-07-29 06:39:04
8
cheedkhidy_71
Cheed_Khidy♾🦋 :
Uje ujinyee online bure😂😂😂😂
2025-07-28 19:08:36
7
wateule2
DAVID :
KWA MTU ANAEFANYA MAZOEZI TUUU SO KWA MADUNGAEMBEE
2025-08-01 09:00:26
6
am_user001t
user0001 :
siwezi kuishi jamni ntakufa kabla ya siku zangu
2025-07-28 15:34:31
11
elia20457
swaumu :
kwaiyo sasa mambo ya wazungu mmeanza kutuletea wabongo aya😂
2025-09-24 11:32:15
4
899truelove
Baby love😎❤️ :
tunao kuraga viporo vyawali asubui tuaje apa😂😂
2025-07-28 21:12:53
7
www01006
♏️♾️ :
kwani hakuna ugali
2025-07-31 10:30:04
2
cx2papie
Cx²papie :
unajua nafany kaz au unakuj kulopokka tuuu umu,
2025-08-01 14:25:39
2
user5484833276076
sheyla :
vyote ivo mbona vinngi sana
2025-07-29 05:12:32
2
latwif_67
SARAFINA :
mm nikila hivi asubuhi wtt wng wana lalamika na hawana kitambi nimm tu na hicho changu nifanyeje😆😆😆
2025-08-03 15:03:43
2
anwarykhamissaid
Anwary Khamis :
Mwanaume ukila hivyo utalalalaje na mke wako, utachepukaje 🤔, em wacha masihara mkuu
2025-08-01 14:26:43
2
alfaromeoq
M-pesa cash 💰 :
Tatizo pesa sasa tajir kula ivyo sio shida 😂😂😂💔
2025-08-01 12:44:19
2
catieskitchen
Catie’s kitchen :
Thank you for sharing this very helpful
2025-08-01 06:51:38
2
To see more videos from user @ibra_carter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About