@worship.in.spirit: katika mema yako na mafanikio yako usiseme moyoni mwako ni kwa nguvu na uweza wako bali mshukuru Mungu maana ndiye aliyekupa nguvu na uweza wa kuwa tajiri. @ufunuochoir kwenye ibada ya worship in spirit #ufunuochoir #shukurani #usisahau