@sicoamedia: Amesema Bwana Osca Oscar kwamba ni kosa mtoto wa kiume kuchangisha birthday 🎉🥳 na kuji post 1+ age kwamba inatakiwa kuwaza pesa na mengineyo sio kusubiri saa 6 usiku ukisibiri birthday #SicoaTV #entertainment #FungukaNaSicoa #fyp #trendingvideo