@tinnerhealth: #dr_tinner #tanzania #usa_tiktok #australia #unitedkingdom #canada_life🇨🇦

Tinner+255679282874/0744125275
Tinner+255679282874/0744125275
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 09:23:29 GMT
1390789
20252
357
10552

Music

Download

Comments

user28116132398236
user28116132398236 :
n
2026-02-14 02:22:25
0
nisa.8_0
naomistephano92 :
sorry ety miezi4 inafaa
2026-01-24 08:48:24
3
adriannajulius
adriannajulius :
yaan me nmemuacha akue atakavyo maan vyakula vya kitoto vyote hali uo uji tuu kipengere😂😂...yaan yey ugali na wali kwa san 🤣🤣
2025-07-31 23:05:00
9
gracejohn1253
Grace John :
Wangu nilimuanzishia uji wa dona mixer maziwa fresh,,kg zimeongezeka kwa kasi mpaka nimeambiwa niache kumpa hizo vitu 😌
2025-09-26 21:51:50
2
veronicatozz
veronicatozz :
wangu vya blenda Hali hata nikikamua chungwa hanywii wali Boko halii anataka tunaokula sis chungwa bila kukamua ndiz bila kublend nachoka
2025-08-06 08:22:13
2
user901267668472
Kesh. :
noted
2025-07-30 11:20:21
1
mimarichuymohamed
mimarichuymohamed :
Me wangu anamiezi nane na hana meno ila vyakula vya kusaga kwa brenda hapendi
2025-08-01 18:37:21
3
jenifar.mohamed1
Maria Elia :
mm nilikua namfanyia mtori wa dagaa au samaki walah kalikua kachibonge mpk raha
2025-07-30 07:54:49
7
tunu.tossy
Divine Afyabora🧿 :
nyongeza 😂😂 usisahau ndizi na parachichi this smooth so 😋, wanangu wana miezi sita now na wanakula vizur na uzito unafurah mama ukiwapeleka clinic
2025-07-29 17:02:20
4
essauchauya
Essau Chauya :
kati ya vyakula vyooote ulivyoelekeza bado sijaona mlo kamili hata mmoja.
2025-09-26 09:16:05
0
user95912373985
cute waa :
sas mbna umeifungia tutawaonesha vip baba zao
2025-07-31 11:17:11
6
blandiie1
Big baby😜 :
Kwa mtu mzima mwembamba,alokondeana asokuwa na kilo.hiyo chakula itafaa
2025-08-22 04:08:15
0
rizcal45
rizie :
hakiwekwi mafuta jamani??
2025-09-09 09:02:01
0
user5626968513537
angela liberatus :
jamani mm mwanangu apendi kula kabisa
2025-07-30 13:54:43
0
victoirevick3
Vickvictoire13 :
ni maziwa ya aye ,
2025-10-20 12:16:20
1
user26805184513615
Mama G :
Samahani unavyochemsha unatia na mafuta au
2025-07-29 20:38:31
1
user10561176537217
maria maria tz🇹🇿🇹🇿 :
dada naomba unisaidie mm nina mtoto mmoja wa miez saba sitak. kubeb mimb ten nitumie njia gani tofaut na majila na kijit
2025-10-08 17:11:31
0
nevishakukufarm
NEVISHA :
mwanangu aponi kifua japo ametumia dawa zote
2025-07-29 19:51:27
1
dainessmollel822
Dainess Mollel :
mtt wa umti gani ?
2025-07-29 12:51:27
1
missjollity
Reeny❤️🦋 :
Anaanza kula hivo akifik umr gan
2025-07-29 12:42:49
4
user9628153238244
mariam pius :
safi sana
2025-08-22 07:42:27
1
adriannajulius
adriannajulius :
wangu ana miez10 lakn ndo hvyo ana kg6.6 yaan nmemwacha tuu😓😓
2025-08-01 20:54:09
2
mwendee002
🦋mwendee🇰🇪🦋 :
wangu hali kbsaa vyakula vya kublend😞
2025-07-30 07:22:47
2
rose.munuo7
Rose Munuo :
bila mafuta😳
2025-08-01 17:55:46
3
1234lm72
1234lm72 :
Hio blenda naipata wapi jamani
2025-08-20 20:14:10
1
To see more videos from user @tinnerhealth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About