@ubeparicompany: Share and like Follow @ubeparicompany for more #fypシ゚viral🖤tiktok #fyyyyyyyyyyyyyyyy #laptop

Ubepari_pc
Ubepari_pc
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 09:46:19 GMT
64200
2885
68
456

Music

Download

Comments

killer_brand69
Killer_Brand :
Kwaiyo kila mteja anapokuja uanze kumdownloadia local send kwenye cm yake, kwann ww usidownload itunes kwenye pc au 3utools
2025-08-04 20:41:49
8
warrey__
Kherry :
mimi nilikuwa natumia xender iko vizuri sana bila bando wala kudownload hiyo app😂
2025-08-04 05:15:30
3
pgraphix
PGRAPHIX👑 :
iTunes shortcut kwamafile madogo na makubwa kama movie n.k
2025-08-02 06:50:36
3
stewartneyzer
⚔️ ⱩɆŇŞⱧł :
Achana na hiyo kuna moja inaitwa document hiyo app ni mwisho unainstall kweny simu pekeee the kweny pc ukiingia kwenye browser unaandika docs transfer unatuma tuu files za cm unaziona na unaingiza chap tuu 😎😎😎
2025-08-05 14:20:39
2
chagaboy.930
Chagaboy 930 :
njia iliyo ya uwakika saiv ni WhatsApp Tu saiv ndo maana Ata ukienda kwenye stationary nyingi sasa wameweka namba ya WhatsApp na wako na access ya internet 🛜
2025-08-02 06:17:37
1
wazee.wa.kazi
Wazee wa kazi :
let's do this 😁😁😁😁
2025-10-06 09:13:03
0
braza_wa_tiktok
🇹🇿braza_wa_tiktok🇺🇸 :
mwana android mwenzangu bado unaskiliza 2😂😂😂✌
2025-09-14 15:37:54
0
dullah_fon_touchez
ROMMY TZ OFFICIAL DJ 🎹 :
Also kuna njia ya IP ADDRESS VIA XENDER Send from WEB
2025-07-30 03:52:18
4
voca_tz
VocaTz :
Je? Kama kutoa kwa computer kwenda iPhone
2025-10-13 18:36:31
0
swizlly
Suzankingu :
Naomba kuuliza , nilikua natumia pc yangu vizuri kabisaa nikaizima kawaida baadae nakuja kuiwash ikawa hainionyeweshi touchpad nifanyaje
2025-10-03 16:25:16
0
swirry_triss
Swirry Triss Salon :
Dah asante umetusaidia wengi 🥰
2025-08-01 06:29:08
2
kimin_labs
kimin :
vipi kuhusu tunao tumia UBUNTU?
2025-08-02 10:53:09
1
kareemabdallah875
amphoteric_kai :
sema leo umekua mpole sana.. 😅😅😅
2025-09-04 20:27:46
1
youngdady48
Dadys :
hapo sasa mteja asiwe na haraka na awe na bando 😄😄
2025-08-07 07:18:38
1
kashuga31
🌬️🅺🅰🆂🅷🆄🅶🅰⚕️ :
tabu yote ikukute wapi tumia WhatsApp tu💯
2025-09-06 14:30:04
1
lom_ab_creationz
Lom_Ab_Creationz :
Asante kwa tec hio vip mteja akija Hana bundle la kuanzia kudownload , hamna namna ya kuconnect direct bila kuanzia kudownload
2025-07-29 18:47:54
1
lmcouriertp2
I&mcourier Transporter :
Thanks a lot blood mana hii kitu imen chosha kabisa
2025-07-30 03:46:26
0
kway_04
sungura :
kazi nzur
2025-07-29 16:01:31
1
mahengetronics
MAHENGE TRONICS :
😂😂naona iPhones user wanavyodanganya.....my friend you must suffer consequences😂😂
2025-09-30 21:11:40
0
super_sujoli
SUPER_SUJOLI :
Sasa aitumi data Waka unaingia tenA google 😁
2025-09-19 13:53:35
0
enoch_murangwa
Enock :
Even Mac book
2026-07-22 18:37:57
0
mr_vibes
Mr. Vibes :
Very useful
2025-10-10 16:05:02
0
salmin_sk
Title_sk :
Baba we mwamba
2025-09-21 22:54:50
0
kambi_health
KAMBI HEALTH || :
asnte ubepari Mungu akubariki umeniokoa mnoo
2026-08-24 12:10:30
0
_s.l.m.a.h
S🦋 :
Kama feem
2025-07-30 08:08:49
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About