@realsabatopeter: 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌#sabatopeter

SABATO PETER
SABATO PETER
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 16:00:54 GMT
672516
67146
2477
4084

Music

Download

Comments

__dongwongbin
__dongwongbin :
nani anataka tulaikiane video3 tukimbizane chachap bila kusahau kunifollow na Mimi nitakufollow back
2025-07-29 16:24:01
63
zashey558
it's zay :
mchezo wakulaiki video tatu ❤️❤️❤️
2025-07-29 17:33:14
270
marryda1
comie🦋💰 :
Leo umeongea kitu cha maana kabsaa Sabato mitano Tena🙄🤔🤗😅
2025-07-30 03:28:04
187
user5335099611092
user5335099611092 :
leo umejuwa kuwashauri wanaume wenzako kitu cha maana sana duh 😂😂
2025-07-29 17:46:31
123
dija242
dija☻♡ :
😂ndo maana Sabato nakupendaga
2025-07-29 16:13:07
71
dorietasha1
💜kemmy🥰 :
Wal wa tulikiane video mko wapy
2025-07-30 18:16:17
8
eshajare
Rohosafi :
wewe sabato ni kama umetusoma sana sisi wanawake.kila mwanaume akuwe na akili kma yako
2025-07-30 07:13:11
29
user60767463604
celinaRudovick :
Uishi miaka Mingi sabato kwakweli asante kututetea🤣
2025-07-30 11:41:06
32
faridafrancec
farida :
inabidi iwekwe sanamu lako ikulu😂😂
2025-07-29 17:45:34
8
martinadaniel805
Martina Daniel :
tuko pamoja mpa wanaume wezio wakubonde🤣🤣🤣🤣
2025-07-30 07:15:09
16
suzy.shilondela
Suzy Shilondela :
sabato kumbe unaijua hiyo uduma safii
2025-07-30 09:18:09
7
biashaoo2
bicco :
mm hela atanipa hospitali nitaenda nipange mchongo na daktari nipate zingine 😂
2025-07-30 13:02:18
9
anethbahath
Aneth Bahath :
huduma ya kwanza imekaa poa sanaa🤣
2025-07-30 08:39:40
8
digitalmarketmommy4
Natasha🦋✨||Digital Mama✨ :
hapo umeongea kama watu kumi bro makufi kwake 👏👏👏👏👏
2025-07-29 21:42:38
10
diyou372
Balkans :
kama una mkubali huyu hamaa gonga like 🙏
2025-07-29 16:28:14
13
mwajumally0
mwajumally :
hahaha mitano tena kama vile upo kwa akili yangu 🤣🤣🤣
2025-07-30 10:51:07
7
tunu.mwahamed
Tunu 🦋🦋🦋 :
Mitano tena kwa sabato😅👍
2025-07-30 06:20:08
23
itsmomynaah3
it's momy naah❤️❤️ :
apo umeongea maana mimi uwa naumwa ela tu
2025-07-30 11:17:36
6
christinetina7
𝓣𝓲𝓷𝓪 𝓚𝓮彡🦋🌼 :
Bass kumi na nne bora 😂
2025-07-29 21:56:47
5
peninah958
@peninah🌹 :
mitano tena 🥰🥰🥰
2025-07-29 19:27:05
7
jacksonwataitataveta
♥️JÅÇKSØÑ WÂ TÄÎTĀ TÂVÊTÃ♥️ :
wakenya tujuane hapa🥰🤣🤣🤣
2025-07-29 19:17:13
5
its_momsameery00
mom_sameery🍫🍫🍫 :
mi ntachangia nondo na matofali kwajili ya sanamu la sabato😂😂😂
2025-07-30 08:14:16
20
user4254140100905
Alicee ♥️💖 :
so kila anae umwa shida ni pesa apanaso ivyo unavyo fikilia sabato
2025-07-30 07:43:06
7
jojokidotiy
JoJo kidoti☑️ :
yani huduma yakwanza umeongea dogo🤣🤣
2025-07-29 16:53:47
6
themutuwa
Dr. Jessiyca 🇰🇪 💊💉🪡🩺 :
Thanks to my Hubby 🥰..he's one and a half 🥰🥰🥰
2025-07-29 22:33:01
5
To see more videos from user @realsabatopeter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About