@officlminister_brightson: #ufunuo 13 ukianzia mstari wake wa kwanza umeeleza vizuri sana kwa habari ya nyakati za mwisho. #endtimesprophecy #fyppppppppppppppppppppppp #expert_brightson #foryou
hiii haita tokea kama mnavyo fikili hapata kuwa na chapa Wala nini maana ya chapa ni watu walio na neno la MUNGU halisi bible imandikwa kwa Siri sana yaani kiroho na ndomaana kama hauwezi kutafasili acha bible inasema mtu asipunguze neno Wala asiongeze siku za mwisho tayari ndo hizi kama una MUNGU na haupati ufunuo omba sana haya yote hayata kuwa kimwili kama mnavo zani MUNGU awasaidie kama unasubili hiyo siku utachoka tupo katika siku za mwisho 1timotheo 3:1:na kuendelea
2025-07-30 13:51:10
44
user8184971819123 :
ila yesu alisema tusitishwe na hayo mambo Kam una mwamin yesu utaokoka
2025-09-08 13:04:22
0
JENNIFER LEONARD :
Maana ya mnyama ni nabii wa uongo na chapa 666 ni neno la uongo linalohubiriwa kwa hao watu,ukiwa ndani ya Kristo na ukawa chini ya mchungaji wa kweli wewe tayari una chapa ya Yesu Kristo
2025-08-01 09:56:09
14
chatty banza :
amen pasteur
2025-09-26 10:03:17
1
sazan :
MUNGU tujalie mwisho mwema wewe ni tumaini 🙏
2025-07-30 07:03:03
48
naoloui :
Yesu nitie nguvu nikashinde dunia nikauone uso wako
2025-07-30 16:46:00
26
RAGINI :
Ambia mungu leo tayari nimeamuwa kuacha jiya baya nipe neema yako nanguvu yakuweza endeleye ishi katika mapenzi yako Amina
2025-07-31 10:23:54
11
sammy :
mnyama tayari alishatoka pembe 10 tayar zishajidhirisha na tayari tatu zimeangushwa na moja ndogo ishaibuka tunachosubiri ni kujidhihieisha tu ingawa hata hivo kwa wale wasomaji wa Bible wameshaona kila kitu kinatimia tena kwa haraka sana
YESU TUSAIDIE TUISHI KATIKA UTAKATIFU NA KUKUPENDEZA TUFIKE MBINGUNI AMEN
2025-08-01 12:07:36
7
Samweli Chuga :
Amen
2025-08-04 17:26:57
2
user53396252617490 :
bwana mungu atushindiye
2025-07-31 10:05:59
3
bey :
kama mwanzo upo basi na mwisho upo pia. Nauje tu maana hii dunia siyo fear kabisa
2025-07-31 18:04:11
4
La sagesse ♥️♥️ :
Mungu anipe mwisho mzuri
2025-07-31 10:00:42
3
Mr George man :
Amina follow me
2025-07-30 21:09:57
6
JENNIFER LEONARD :
ufunuo ulifunua unabii kutoka Isaya,Yeremia,Danieli,Ezekieli,someni rejea yake chini ya biblia lilikotoka hilo andiko ndio mtaelewa vizuri,sio kitu cha kutisha na kuogopesha, tuishi maisha matakatifu tu