@bm.25.single.boy:

Blessing 25 msomi 🥰💯🔥
Blessing 25 msomi 🥰💯🔥
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 July 2025 16:12:06 GMT
1195982
35058
1019
6049

Music

Download

Comments

anjeropeter
mbete335 :
huo ndo ubaya ubwela kama nawewe umeipenda kama mm gonga hapa
2025-08-25 16:46:28
27
user5486136619103p
pendo juma :
hizi ndiyo jezi siyo vile vibode vya wana ccm
2025-08-25 11:29:42
28
rauhia85
rauhia :
huu mwaka wa simbaaa jmn mkubari mkatae 😂😂♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2025-07-31 10:38:56
17
absinarashid
Absina Rashid :
jamani msimu ukianza wanasimba wenzangu mwenye uezo aninunulie jezi nyekundu
2025-07-31 17:14:01
9
obedy.tz
obedy tz :
mtaendelea kutavaa ha majezi yenu Ila ubingwa sahau kabisa
2025-08-01 08:43:21
5
marco.kasheku
MARCO KASHEKU :
jamaniii. msimu wa 2025 ,2026. simba. ina chukuwa ubingwa. wa makombe. ❤️❤️❤️
2025-08-01 05:41:39
3
catherineihano
cathy 💕 :
kiukweli kwa huo uzi 2metishaaa Wana simbaaà👍👍
2025-08-07 07:19:37
2
johayna_20
Johynaaa :
Duh Mpaka unachanganyikiwa na Uzi wa jezi ya Simba mzuri sanaaa♥️♥️♥️♥️
2025-08-06 06:46:11
5
amosmlugwanja
Amos martine lugwanja :
Watatukoma mwaka huu
2025-08-04 20:03:37
2
grace41024
Grace❣️ :
woyooooooo Uzi mtraamu kuliko mapenzi
2025-08-06 15:27:42
5
fikilabdallah0
mkolon mweusi :
Mbn za Yanga sizioni au ndy wamezificha wanaona aibu
2025-08-04 06:09:14
4
user4166021149315
sakina :
naipenda san tim yang 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-07-31 11:07:05
17
salva_g_classic
Salva G Classic :
mm ni yanga ila rangi ya bluu nitasepa nayo mbwai na iwe mbwa tu
2025-08-25 19:28:08
6
jamilahamadi6
jamilatz :
safari hii nitaunganisha mbili zili inieneeee🥰🥰🥰
2025-08-07 05:09:27
1
chabigirl78
chabi baby :
uwo ndo uzi bhna 🥰🥰🥰
2025-08-25 09:36:03
8
mbura16
🦋ney ney🦋 :
uzi nimeuwera sana mapema inabidi niutie mwirini kwaheshima kubwa
2025-08-25 12:24:48
7
ashiru.kikali
Kikal🔪 :
good iyooooo
2025-08-08 11:10:29
2
mwanjaa.hassan
Mwanjaa Hassan :
betway hatari sana
2025-08-01 05:43:02
1
biabumohamed
mama afay :
Simbaaaaaaaaaaa chamaa kubwa. achana na madekio ya Ali Komwe
2025-08-28 15:04:03
3
kadujr37
kadu jr32 :
nimeipend sanaa
2025-07-31 16:41:35
2
masu58756
Maestro decor 14 :
kiukweli yanga makombe chukueni ila kwenye hili la uzi hamtuwezi mtaendelea kuvaa magunia mpaka mwisho wa dunia
2025-08-01 07:43:01
2
user9420880467379
official petra :
Simba mikono juu
2025-08-10 09:46:31
1
h.kika4
H.KIKA :
safiiiiiiii
2025-07-31 15:06:16
1
rigour_herself
rigour her self💓 :
Duuuh!!! washabiki hii so ya kukosa kuivaaa unyaman kbs,ad nachanganyikiwa,eeeee😃
2025-07-31 18:00:21
3
To see more videos from user @bm.25.single.boy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About