@lotiff_enterprises: 🌽🌱 Panda haraka, kwa usahihi, na kwa bei nafuu! Planter machine hii inapanda mahindi, maharage, njugu n.k. na inaweka mbolea kwa wakati mmoja! 💥 Bei ni TZS 350,000 tu! 🧑🌾 Weka nguvu zako kwenye mavuno, si kupanda! #KilimoBora 🌾 #BiasharaNdogo 🧺 #MadeInTanzania 🇹🇿 #AgritechAfrica 🚜 #VijanaNaKilimo 👨🏿🌾👩🏿🌾