@aboubakarsadik01: #Sanamaki #Senna #KingOftheForest #tiba

aboubakarsadik01
aboubakarsadik01
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 July 2025 18:58:49 GMT
77194
1282
65
913

Music

Download

Comments

hassa960
hassan masud :
nili harisha paka nikahisi moto unawaka dadek lakin ni nzur inatoa mafuta mwilini iko vizur san , lakin uwe n uhakika na choo kisiwe cha foleni
2025-08-01 17:01:43
7
mariamabdullah235
mary :
kaka hii naitumia sana kwa tumbo nikikosa haja kubwa,tumbo kujaa gas,kumbe inatibu na ngozi,shukran sana,nimeipanda hii dawa
2025-08-28 11:28:34
1
mphatsomwabungul5
Mphatso Mwabungulu :
for how long? how many times a day?
2025-07-30 20:36:18
1
carolinewaga
nyar jaluo💫 :
that's very true
2025-08-14 10:07:37
1
zeynerbaby1
Mama Toto or Mama Twins :
kama hupati choo kikubwa ninzuri sana
2025-09-11 06:40:17
1
littica
littica :
unatumia siku ngapi
2025-11-14 05:19:33
0
user8643023256353
user8643023256353 :
yanapatikana wapi
2025-08-04 17:10:03
0
gwijilamsolwa
GWIJI LA MSOLWA :
hivi huyu ni Abubakar Sadiq
2025-08-30 10:45:34
0
maryamallytuma
smartlady🩸 :
jmni kuhara huko ila mm hiyo dawa nimekunywa sana
2025-08-01 09:45:16
1
prudence8696
prudence :
thanks
2025-09-29 17:16:12
0
user8159276161216
moza hamad :
hata mjamzito anafaa kutumia hii
2025-11-16 08:21:40
0
m.o.n.i.c.a_59
M.o.n.i.c.a_59 :
asante naomba dawa ya vijipu uchungu pia
2025-08-02 10:06:56
1
fund.stanmoro
@st⭐n designer . :
Ina safisha ad figo ime nisaidiaa sana hii 🥰
2025-08-01 09:45:00
2
shebbyloves
shebbylove :
unachukuwa unga wa maua au wa majani mwalim?
2025-08-03 22:36:48
0
bf12751
BF12 :
hiyo salamaki nadhani ipo ya bidonge maduka ya dawa zakisunnah je ndio hiyo?
2025-09-16 16:24:44
0
chechu.g0
chechu :
mm nawashwa sana na kuvimba mwili
2025-09-26 13:23:47
0
onkwarealbert
Onkware albert :
kenya
2026-04-14 08:51:46
0
abu.hisham.almuha
Abu Hisham Al-muhajiry :
جزاك الله خيرا
2025-07-31 08:11:48
0
leejayme3
James Omary497 :
Dr tofauti na unga wake vipi kuhusu matumizi bila ya unga wake
2025-08-09 09:47:27
0
user87547816675886
user87547816675886 :
inaondoa hadi uchawi tumboni
2025-08-05 09:48:52
0
user9573885234480
user9573885234480 :
asante sana ninejifunza tuba zako ni nzur
2025-08-28 09:55:57
0
diy68173
Diy :
ubarikiwe naona maendeleo mazuri kwa kikojozi mungu mkubwa
2025-08-31 13:06:45
0
user595146242062
user595146242062 :
pregnant woman anaweza kutumia
2025-08-26 10:55:42
0
margaret.wambui08
Margaret Wambui :
kweli kabisa 👍
2026-05-13 12:46:49
0
user38504754051904
@mwaka :
bro naomba nisaidie dawa ya presha ya macho
2025-07-31 18:46:46
0
To see more videos from user @aboubakarsadik01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About