@iddikaluse: Salute to our Conservation Rangers 👍 Protecting wildlife. Serving nature. Keeping us safe. As the Great Migration reaches its peak in Northern Serengeti -Kogatende, we take this moment to remind all visitors, guides, and tourism stakeholders to respect crossing zones, follow park rules, and support rangers on duty. 🥲Remembering those who gave everything in duty. #RangersDay #WildlifeGurdians #TANAPA #ConservationMatters #TourismHeroes #Greatmigration @greatmigrationsafaris
ni wazo nzuri sana.lakini nadhani itapendeza zaidi kama kila kifuko kuwe na gati ili msimamizi aweze kuwaeleza made madereva kuwa kuna idadi ngapi
2025-08-07 21:47:24
1
James Majani :
I will visit soon
2025-08-08 19:21:13
1
Thomy. travel, Learn, Enjoy :
Upande wa mama au upande wa Tz🤣
2025-07-31 18:30:13
1
Zigzag :
sasa kama.ni shule mmeeka.muziki wa nini ata hamsikikii ni mziki tunasikiaa
2025-07-31 20:17:37
1
MVUA_WILD_GUY🇹🇿🇺🇲🇩🇪 :
mziki mkubwa kuliko anaeongea mkuu
2025-08-02 11:30:19
0
Kanael Nanyaro :
Tengenezeni daraja
2025-07-31 09:08:59
0
George Mwakatundu :
mziki wa nn Sasa mkuu
2025-08-01 04:53:32
0
adamguid14 :
Unapoweka sheria weka na mazingira ya kutii hiyo sheria, unakamua maziwa kwa Ng’ombe usiyemlisha, Jengeni daraja muone Kama guides hawatakuw enda upande wa pili!
2025-08-04 17:07:10
0
bashir_Duale :
Sjui kaka mda gani utafanyika ili watu waweze kwenda upande wa kaskazini.? Nadhan changamoto halitaisha kama daraja halitakuepo 😜😜😜😜
2025-07-31 15:40:19
0
Peakhaven safaris.com :
Sasa ukisema gari 30 tu kama ndyo point pekee kwa siku iyo au kwa mda huo
2025-07-31 16:13:12
0
Mary Mosha :
mziki uko juu kuliko sauti ya ranger
2025-08-02 06:39:49
0
Exaudy Samuel :
background noise 😏
2025-07-31 17:40:04
0
felicity :
🥰🥰🥰🥰
2025-08-05 07:28:18
1
Miss Dorcah🥰 :
🔥🔥🔥
2025-08-02 07:40:42
1
MOYO_-KIDD💙 :
🥰🥰🥰
2025-07-31 12:34:30
1
Moza hairstyle :
🙏
2025-07-31 19:48:34
0
barakanyatega501 :
Habari ndugu, Chuo cha utalii CAMBRIDGE INSTITUTE OF TOURISM MANAGEMENT TANZANIA (REG/NACTVET /1164P) Kilichopo Usariver Arusha kinamkaribisha mwanao kwa kozi ya Tour guiding and wildlife Management[ Uongozaji wa watalii] na Hotel Management[ Usimamizi wa hotel] kwa muhula mpya wa masomo 2025/2026. Tunatoa offer ya Lugha za kimataifa kama Spanish, Germany na English Bure. Wasiliana nasi kwa simu namba 0766243660 au 0689154169 au Tembelea website yetu
www.cambridgeinstitutetz.ac.tz
info@[email protected]
FIELD NA KAZI NI UHAKIKA KWASABABU NI JUKUMU LA CHUO KUKUPAMBANIA
2025-08-11 16:24:04
1
Temba Tech :
💻 Karibu Temba Tech – Tunatengeneza website kali, za kisasa na zenye mvuto kwa bei nafuu kabisa!
🌐 Tafuta mwonekano bora wa biashara yako? Temba Tech ndio suluhisho – tovuti za aina zote kwa gharama rafiki.
🚀 Ongeza nguvu ya biashara yako mtandaoni! Temba Tech tunakuletea websites zenye ubunifu wa kipekee.
✨ Usibaki nyuma kidigitali! Pata website ya ndoto zako kutoka Temba Tech kwa haraka na kwa bei poa.
📲 Karibu Temba Tech – Ubunifu wa kidigitali, websites, branding na suluhisho za kisasa kwa biashara yako.
2025-09-07 22:02:23
0
Ezii son :
Boss, here in Arusha i have a Bajaji please come with your guests and have a city tour and more as adventure please call via 0759053387 🙏 karibu sana
2025-07-31 21:30:04
0
yonapanga93gmail.com :
Warlimishe Idi Kaluse.,well done Br
2025-08-01 04:56:59
1
Sanibonadeno :
Hongera kwa kazi
2025-07-31 19:21:49
1
peril22 :
good job afande,
2025-08-19 09:32:52
1
To see more videos from user @iddikaluse, please go to the Tikwm
homepage.