mpenzi wangu sina ubaya
cheza n mm mara ya mwisho kabla ujazima taa
usizime taa,usizime taa, ooh usizime taa
baby usizime taa
nimekuwa nikitafuta pesa
yangu n yako
na hio kidogo napata haikutoshi ju ww n baddie
2025-08-11 10:36:43
227
user0798267524 :
Mm si mjaka bt itabidi
2025-08-01 07:49:17
275
SonnieKamande :
Translate to English please
2025-08-01 06:51:30
62
Foi.san :
nobody is translating 😭😭😭
2025-08-02 21:45:12
56
Essy Esther :
Finally Shiro kuja tuone lyrics huku yeeeiii😂😂😂😂
2025-08-14 05:25:09
4
lightbwouy ☠️ :
hii wimbo ni ya shiru😁
2025-08-09 07:17:21
121
Sofia Nelson 🇰🇪 :
hi ndio ile wimbo ile fanya wale mbuzi wawili wapiganie kasusu?
2025-08-04 09:00:42
60
Toga bassist🇰🇪 :
hizi za kuandikwa zinatuconfuse 😫😫 wacha tuende na za Tichaa😂😂😂
2025-08-09 08:48:01
44
CANDY 🍭❤️ :
wale wakulike video tano kujeni
2025-08-10 09:51:46
8
Nails by Phaleene :
unaeza tuandikia ikiwa na translation
2025-08-13 09:50:56
1
teydhi5 :
as a somali from garissa town loved this song to the fullest❤️