Nenda zanzibar ndo utaona maajabu watu wanaishi maisha soft 🤣🤣
2025-08-01 13:01:29
208
agayaachande :
Ukweli usemwe miji iloenea uislam kwa tz ni wavivu mno ukibisha bisha😂😂
2025-08-01 15:35:45
393
calitobrand :
Wapumbavu hao wanasubiriana kwenye bus yani hawanaga ata haraka ukiamka saa 1 asubuhi utaskia waenda wapi sheikh wangu na giza hili😂
2025-08-01 13:46:52
281
eshy :
Watu wa pwani hawana haraka sana😀
2025-08-01 12:59:56
84
ASKOFU ✝️⛪ :
kama Zanzibar tuu pigo zao 😂😂
2025-08-01 08:05:18
22
Adia@katala :
mjihuu watatmiza majukumu ya ndoa asubui lazi na saa2 usku had saa3 wanafunga kwenda kutimiza majukumu ya ndoa sasa jichanganye saa1 watafta huduma hatufungui😁
2025-08-01 20:24:23
1
Shekalage :
Tuache bhn weee kwani nini 🤣
2025-08-03 08:00:48
2
Omary Mjema :
Nenda kigamboni tuu hapo
2025-08-01 20:23:17
3
kasungura🇹🇿🇹🇿💚 :
sasa wanatutegea sisi wa dar kulipa deni laserikali pekeyetu.
2025-08-01 17:34:35
3
AQIS UJENZI :
sheikh wakala asubuh ni maeneo ya Masoko ! Ngamiani, Soko Mjinga , Makorora na Maeneno ya Hospital maduka yapo wazi mapema tu
2025-08-02 05:47:03
4
24badgal_riri ♎️ :
Mnataka kutupangia mpka muda wa kuamka💔🤣🤣msifkie huko
2025-08-01 20:06:45
2
graduate with plan be :
ukiwai kuamka kwenda kutafita unaambiwa unaiba nazi Sasa si Bora ulale you😀
2025-08-02 11:40:27
3
TikStar :
KITU AMBACHO WENGI HAMJUI NI KWAMBA SISI KAMA WAISLAM MISIKITINI HATUFUNDISHWI KUWA TAJIRI NI MTU ALIYEBARIKIWA NDIOMAANA HUWA TUNAACHA KAZI ZOTE NA KUWAHI MSIKITINI TUNAPOSIKIA ADHANA . QURAN INASEMA " aliye bora zaidi ktk ninyi ni yule amchae mungu zaidi katika nyinyi " KWAHIYO KUSEMA WAISLAM WAVIVU SISI HATUSHANGAI JAPO WENYE PESA PIA NI HAO HAO WAISLAM .
2025-08-02 05:12:15
5
༺🄺🄸🄽🄶 🄿🄻🄰🅈🄱🄾🅈🅃🅉🫅 :
😂😂😂😂 hoko watu wanapenda ngono kuliko kitu chochote ukute ndio kwanza saa mbili asubuhi lakini watu bado wanazagamuanaaa
2025-08-01 13:46:27
4
flag_hatice :
Hiyo maana halisi ya tanga raha 😂😂we hujui km kulala ni raha sana sio shida zetu 😂😂💃💃💃nenda Toyota utapt wakala mapem
2025-08-02 12:20:36
2
𝒩𝒶𝓈𝓇𝒶𝒽 𝓘𝓽’𝓼 🤍 :
🤣🤣na wanalala sa mbili usiku 🤣🤣😻 msiolewe uku kama mnataka hardworking man ruuun 🤣🤣
2025-08-15 06:58:43
1
Sayeed💠 :
Hata Dodoma vilevile, saa mbili asubuh utajiuzia mwenyew 😂
2025-08-03 08:18:04
2
TikStar :
kwani kisheria kuamka ni saa ngapi ?
2025-08-02 04:35:20
2
Maryam Gerion39 :
Nilienda huko siku 3 palinishinda sijaenda tena miaka ishapita kama sita sijakanyaga huko mana loooh unaweza meza watu
2025-08-01 20:05:56
2
khayrah :
m pia nlishangaa jmn maduka yanafunguliwa saa4
2025-08-01 17:41:24
3
🦋cute_mamu🦋 :
saaleko🤣🤣waja leo waondoka leo
2025-08-01 19:42:33
1
grace_kija :
Njoo Zanzibar ujionee maajabu ya musa 👌
2025-08-02 15:35:13
2
nishauri255 :
mbona ata Dar ...njoo GOBA kwa MOGA uone mpaka saa nne😂😂😂
2025-08-01 16:55:15
4
salum ndalu5 :
siokweli kuk mitaa ya biashara za washua hiy njoo ng'amb kdg uone km wasambaa wanalala
2025-08-02 05:20:41
2
florate_001 :
Hata mtwara nao huchelewa kufungua
2025-08-01 19:54:23
2
To see more videos from user @adilistashon, please go to the Tikwm
homepage.