Labda hii video ningeiona mwaka jana mwanangu asingekufa.
2025-08-03 17:26:44
6
zuu0001 :
naomba dawa ya kichwa
2025-08-02 09:28:04
1
Pax :
mbona niliona Mnigeria mmoja akielezea similar thing na hakutweka miziz aliweka majani yake.. kipi ni kipi?
2025-08-02 06:22:42
6
user3187746144495 :
naomba dawa ya mtoto kutafuna meno usiku
2025-08-02 05:23:25
3
Mango Kanyawana :
we kiboko haya tiba zinazohusu mifupa tupe kaka
2025-08-02 05:25:39
4
maulidi :
naomba namba yak nashda nawewe mwalimu
2025-10-01 20:31:33
0
🦋h@qq 🦋me🌹 :
kaka Mungu akubarkii sana dawa ya mtoto alyechelewa kuongea 5 yrs
2025-08-02 15:45:39
1
cleopatra :
ninaomba namba zako kwa ushauri wa ndani zaidi
2025-08-22 11:55:44
0
msumary :
ayo majani sisi huku Zanzibar tunaita (kishinde)
2025-08-02 13:20:12
2
scorpion🦂 :
kaka mwanangu haumwi ila yeye anakonda tuu kila cku anadhoofika nimehangaika cjapata majibu nsaidie pls
2025-08-03 08:01:22
1
joslinchuwa :
na mimi pia ninapata maumivu ya mifupa jamani
2025-08-02 17:08:01
0
Marlène mujinga :
salamu
docta nioneshe dawa ya kisukari na presha
2025-08-04 17:58:21
0
MZAZI77🌳 :
atakama karogwa au sio!?
2025-08-02 07:47:22
0
mariakiface :
Asante mungu akutunze kwa ajili ya sisi wenye uhitaji wa kile unachotupatia Bila malipo
2025-08-02 05:50:47
2
0778147484 :
jiwe liwenaukubwa gani😁
2025-08-03 20:07:14
2
Israeli Jerome :
Kama ana kansa, ini, moyo, hiv, kisukari nae atapona?
2025-08-03 13:16:38
2
Matrida seme :
kaka Asante mm naomba dawa ya magonjwa sugu kuvimba magoti kuvimba nyonga kuvimba mikono nakukakamaa viganja na hizo nyasi nashindwa kuzitambua tuonyeshe juu ili nipate kuItambua namini nitapona pia na macho yana ugungu namtoto wa jicho
2025-09-16 14:58:33
1
first lady :
jqmqni basi tumwqmbie kaka cassian atumie yule yupo kwa mtandao anaumwa anaombewa kifo na anasema ameqngaika kujitibu ajapona🥰asnte kwa kutupq dawa
2025-08-05 06:52:52
1
fettymalingo :
kwa iyo mala moja tu au
2025-08-02 04:55:32
2
user5079501315560 :
naomba nisaidie dawa ya presha ya macho
2025-08-04 14:46:06
1
Hamis Ramadhan :
asante kwakutupa elimhii❤️
2025-08-02 09:25:53
1
user30231133402311 :
daktari nisaidie nawashwa sana mwili mzima na panawasha nikijikuna panafura nitumie nini najikuna sana
2025-08-02 06:41:32
1
Ahmed Aleyy :
Dkt dawa hy inatumika siku moja tu?
2025-08-02 00:11:02
1
Nzai Christelina :
madawa nilitumia Sana, hata Dawa za hospitali zilinichosha. ❤
2025-08-01 23:36:35
1
To see more videos from user @aboubakarsadik01, please go to the Tikwm
homepage.