@iceboyafrica: Mafanikio sio weusi kila Mwafrika anao. 😂. #videoviral #trending #foryou #TikTokTrend #tiktoktanzania🇹🇿 #viral #funnyvideos #ulaya

Ice Boy
Ice Boy
Open In TikTok:
Region: DE
Friday 01 August 2025 21:26:59 GMT
266875
18421
290
91

Music

Download

Comments

user4811999003333
user4811999003333 :
huyu naye sijui aliendaga wapi
2025-08-02 19:53:33
26
atebae8
Atebae8 :
Mwenzenu naomba jina la wimbo tu/!! anaejua jina plzz mnisaidie
2025-08-02 21:22:25
6
method.magowa
Method Magowa :
wimbo unaniliza sana huu😭😭 nilimpendaga Binti Mmoja nikadumu nae kwenye mahusiano miaka 2 lakini akaja kunisaliti , nililia sana sikuaminigi macho 👀 yangu daah mwamba uliimba huu wimbo kwaajili yangu, big up brother
2025-08-03 15:35:42
21
mohammedcuts
mohammedcuts :
Nilibishana Sana Mtaani Adi Vitasa Nikamzibua Mtu Kisa Kukushabikia kuwa we ni Rapper Mkari We Jamaa Na Ukakimbia kutoa magoma Sikukuona Tena Mpaka Leo Nakuja kukuona Tiktok 😁 🙌🏿
2025-08-03 05:31:55
12
chaputa
officialchaputa :
Kaka unajuwa sana
2026-06-22 17:23:26
0
chanazi_
chanazi :
uvivu wa kazi 😂😂😂😂
2025-08-04 15:01:11
1
hafsasaif66
Haruny :
Atari sana Ata Ingekuwa Mm bongo sirudi😂
2025-08-03 02:40:17
1
onlynaikely
My girl❤️ :
nilivyokuw nakupend kumbe ushapat mshangaz wko😀
2025-08-04 19:44:26
3
twinzfashiontz
Twinzfashion :
Ujue ndo unaishi hivyo
2025-08-04 11:26:29
0
ramberth3
ramberth :
Mwanangu unaonekana mgumu mwenzetu lakini umeniuzi kutoboa poa kwann wakati sisi hatuna izo mambo mzee
2025-08-02 15:37:44
1
eliya.mataro
Eliya Mataro :
Kuolewa na shosho Tayali umefanikiwa
2025-08-03 14:09:04
6
isher806
Isher :
tayari umeshanipoteza me shabiki ako
2025-08-03 15:46:39
1
levelstar.og
Level Star :
hii ngoma kaka mimi ningoma yangu ya kila mda kwenye sim yangu kaz kubwa sana itaish milele hi🔥
2025-08-03 15:15:20
2
mwanjiih
laulent mwanj :
nice
2025-10-07 14:13:41
0
ceomahesh
CEO MAHESH2125 :
follow me pleaz
2025-08-26 20:19:17
0
kenny_business
ken future :
ice boy me shabiki yako imepotea sana kaka
2025-09-14 17:25:09
1
fourth280
Fourth_280 :
Sema shemeji ni mtu wa maana♥️
2025-08-02 16:28:08
1
rasheedchidy
Rasheed Chidy :
number one song from ice boy🥰
2025-08-02 09:38:58
1
sensiblemwamilumbe
sensb_ze best :
mwamba uliua sana hii ngoma . ebu rudi tena mwamba
2025-08-02 21:17:18
1
mlugu23
mlugu jr :
ice boy ft baraka the prince thamani
2025-08-04 06:52:59
0
hambee7
chavidee7 :
fundi ice boy💯💯🔥🔥
2025-08-25 18:43:23
0
steveee997
☆☆𝓼𝓽𝓮𝓻𝓮🏅🏅☆☆ :
2012 hit song
2025-08-03 03:51:49
0
mbeya_ambassador
mbeya_ambassador :
Unatufokea chief
2025-08-24 19:32:00
0
christinamlay882
Lizzy Tinah Mlay💍🥀💫❤️ :
Msanii wangu pendwa kbsa Ice Boy uko wapi jmn
2025-08-03 20:52:22
0
amedikusaga
amedikusaga :
pachaaaaaaaa
2026-07-04 07:32:52
0
To see more videos from user @iceboyafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About