Sasa elfu 30 ndiyo ukasirike???? wewe kinachokutesa uchoyo mshamba wewe Peleka uchoyo wako huko fyuuuuu😂😂😂😂😂😂
2025-08-02 16:03:56
70
Shamney og :
manaume machoyo siyapendi😁
2025-08-02 17:01:08
14
Gracie Van pasco :
mm nisiongope nikikuomba hela ujatuma bs ata utume sms sikujibu nakuona kitimoto
2025-08-02 16:06:40
23
Mirry❤️🦋 :
wanaume ambao hawana hela wana hasira sana sijui kwanini 🤣🤣🤣
2025-08-04 06:27:43
53
ntandu :
Kwenda huko maskini ww mfyuu🤣
2025-08-02 11:08:32
58
Simulizi za Kiswahili🍭 :
Ningeweka status sema sina hakika kama nitapata chaka jipya badala yake😁😁
2025-08-02 11:41:16
149
Leonard :
wadada wenye njaa tu ndo wanaweza kumkosoa huyo mkaka
2025-08-03 10:06:32
61
#77 KC🛋️ :
mungu atuepushe na omba omba 😂🤣
2025-08-03 05:21:55
34
🎨ESMAAH✨make UP classic✨🎨🍯 :
Maneno bila hela kwann unaongea 😬
2025-08-03 15:40:38
7
Suzana👄👄🫦 :
Elfu 30 to je ungeobwa laki 😳😳 ungemwambiaje
2025-08-02 21:19:12
6
MOTTO 🔥🧡 :
maneno bila ya kitu Kwanini unaongea??????😂😂😂😂😂😂😂
2025-08-04 20:03:32
6
Lucas Side :
Mademu njaa wana koment kwa hisiya kali, na makasiliko🤣🤣i😅
2025-08-02 18:20:11
20
Bby T ❤️🥂 :
Mbona umeongea kwa Maumivu makali sana 🤣🤣
2025-08-02 20:33:01
6
Son27 :
Wanawake sikuizi wamekua omba omba mpaka wanatia huruma asee dah , ujeuri mwingiiiiii Pesa Hawana wanaringia maku na picha za kwenye mahoteli utafiriki Wazee wao wanamiliki hizo Hotel kumbe hata kwenda kwenye mahoteli wameenda na Boda Boda 😂😂 …kweli katuni Network wanawake hawa jamni
2025-08-02 14:18:23
8
Eric Bakebula Paul B :
Brotherhood is proud of you
2025-08-02 13:41:13
7
Hassan Ake💕 :
Hela sio yake akinyimwa anakasirika kama sio mwehu ni nini😅😅🙌🙌
2025-08-02 18:04:57
18
mom shaa♥️ :
khaaaa mungu wng tujifunze kubalans njaa zetu jmn ona tunazalilika hku😂😂😂
2025-08-03 08:58:59
5
Best frienD :
WADANGAJI WAMEPANIKI BALAA WEE ANGALIA HATA COMMENT ZAO
2025-08-03 08:02:40
8
mamu :
Ila we fala umenigusa 😆😆 ila ndo nshamuacha bana 😆😆😆😆😆😆