imagine kichwa kama ichi kipo huru
ila tundu lissu yupo ndani 😂
2025-08-03 14:53:56
927
nice one@❤️ :
Uyo mzee apo nyuma ameishiwa pawa 😂
2025-08-03 09:04:29
453
hdsh :
Mchalii wa Arusha hua wanajifanya wajanja na wagumu, ila in real sense ni maboya mno.
Wakija Dar wanakosa mbinu wanaishia kuwa mateja, wapiga debe, vibaka na wasafisha vioo vya magari kwenye traffic lights. Cursed individuals!!
2025-08-03 18:04:41
91
chuma Ilie 😍😍 :
hahaha kama umeona kama mm alaf ukacheka like apa😂😂
2025-08-03 11:11:35
5
Nipher meshack :
plz huy mzee.analakusem mpe nafasi jmn
2025-08-07 20:11:05
6
joseph shette :
wanangu wa chuga gonga like hapo
2025-08-03 06:47:11
107
Anna boniface :
ckia jibu la Salam UTURIVUUUUU😂😂😂
2025-08-04 09:56:15
6
ᴠͥɪͣᴘͫ•sʜᴀʀᴋ☻⃟🎭 :
Nani ka focus na hiyo kiatu nyeupe iliyopita apo😂😂😂
2025-08-05 15:17:06
55
Chunchu Partial :
Hahahah ukili na ususi 🤣
2025-08-05 15:57:45
23
Abedy Nalbert :
mtu wa stadi za kazi😁😁😁
2025-09-11 06:58:54
23
Eng. DENIS🇹🇿 :
"kuna saa lazima iangalie road, na kuna muda inarudi Doria..."😁😁😁
2025-08-22 04:13:08
51
Dinagrecious :
UTULIVUU😂😂😂😂😂
2025-08-03 08:17:48
71
Monday Guy :
ukili na ususi🤣🤣🤣
2025-08-03 01:16:35
35
SV Fashion :
Alie muona uyo mzee apo nyum like apaa 😀😀
2025-08-05 13:44:33
7
lyzer✌️❤️ :
najizingatia mwenyewe dady😂😂😂
2025-08-02 19:50:56
68
The black 🦅🦅 :
kuendelea kuishi tanzania bonyeza # 😂😂
2025-09-24 20:37:48
5
mimahlove :
iko rada
2025-10-25 08:42:26
5
Gloria Harold :
kweny stadi za kazi apo jaman nimechekaa ukili na ususi Yan kwenye masuala ya kukill na kususi 😂😂😂😂
2025-08-05 07:44:15
7
Ednah 🦋🦋 :
Mchezo wa kulike video 5
2025-08-12 11:15:22
5
MDUMULIYINYI® :
Anavyoongea bas mi niko mbav sina😆😆😆
2025-09-10 05:23:52
6
R. CHUGA AUTO SPEAR $ GARAGE :
chuga ni nchi nyingine😂😂
2025-08-25 05:45:43
5
ramos :
ukiri na ususi🤣🤣🤣
2025-08-03 12:10:44
5
Taragwa :
hiyo miwani kunasaa inaingia doria kunasaa inaludi road 🤣
2025-08-07 12:18:32
8
JihadTz :
Arusha inatakiwa iwe nchi ijitenge na wapewe Rais wao😂😂
2025-08-22 13:03:53
6
cutelee🌸🌸 :
huyo mzee anajambo lakuzungumza enyewe😂😂😂😂
2025-08-03 15:25:18
31
To see more videos from user @alleys_alley, please go to the Tikwm
homepage.