@feitoto06.0.backu: Mpuuzi huyu @Msindo12 anapenda raha balaa 🤣🤣🤣🤣

FEISAL SALUM
FEISAL SALUM
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 August 2025 09:20:08 GMT
943644
51341
693
443

Music

Download

Comments

pascalmsindo
Msindo12 :
Ugomvi wa nchi kavu unaleta majini😂😂
2025-08-03 09:27:31
590
usinijuesanaa03
༄ᶦᶰᵈ᭄𝐊𝐞𝐥𝐯𝐢𝐧 𝐊𝐢𝐧𝐠💎 :
Basi wakenya wakiona hivi roho zinawauma😂😂😂💔
2025-08-03 16:32:06
224
bint.said65
bint said😊 :
nimeghair kumpnda fei namtka msindo😭😂
2025-08-03 09:55:58
56
aziza.shabani49
Aziza Simba🦁🦁 :
Mbona feisal ni mkorofi ivo 😂😂😂😂😂😂😂
2025-08-03 12:46:29
47
ally.mustafa09
SIR ALLY 🎀 :
mbona fei anaogelea na nguo Kwan anashida gani🤣🤣🤣
2025-08-04 04:34:49
48
biabumohamed
mama afay :
wewe kweli ni fei toto hujaacha tu utoto🤣🤣🤣
2025-08-03 18:14:43
35
user99114343814193
malanginho :
Hawa majaa wanapendana kweli ni jambo la kuigwa😁
2025-08-03 20:02:53
21
ismailkada59
ismailkada583 :
tunataka pambano
2025-08-03 13:15:12
9
issackmalugu
issack malugu :
ugomv wenu hauish mpka uje unyaman
2025-08-03 13:07:59
15
ramadhanichamuang
ramadhanichamuang :
hii battle ya fei na msindo ni kama ya nkane na kibwana
2025-08-03 21:20:38
5
nado.auto.garage
NADO auto GARAGE. MYUMBO,, :
oya mngekua yanga tungewaandaria pambano na nyie sasa kama la kibwana na nkane😆😆
2025-08-03 15:22:01
9
official.nipher2
it's nipher :
hivi mimi hata daraja naogopa tu kuvuka hv mimi ntaogeleaga kweli mweeh🙌
2025-08-03 20:21:22
5
zaynab_747
zaynab_747 :
uyo ndo fey sehemu zote yuko vzur sio kwenye mpira tu hata nchi kavu
2025-08-03 18:02:36
8
khalfn.magem
Abby sheki :
yaninaukubwawote uwo mtuhajui kuoga
2025-08-03 16:09:15
11
muhammedmbwambo
Mudy :
mmmmh inaonekana wazii vikao hamhudhurii kabisaa maana sio utoto wala utan kuna kitu hapo
2025-08-03 11:44:04
9
mwalimuhashimu8
Mwalimu Hashimu :
mfile uyo
2025-08-06 08:27:59
5
paulo.machibya
Paul Yanga :
wee fei kwenu zenji mnajua kuogelea mwache mwenzio hajui asije akafia kwenye maji ya besen ayo
2025-08-03 16:52:25
42
ahmedmwakichui
Ahmed Mwakichui :
kama wewe unavyoogopa kupanda lift ndio msindo anavyoogopa kuogelea 😂😂😂
2025-08-12 13:33:43
0
emmy.chaupole
Emmy Chaupole :
🤣🤣🤣 nachekelea nikiwa kitandan ila fey na msindo mnatakiwa mpewe pambano ili muheshimiane
2025-08-03 23:03:23
5
hilly.hiker
hilly hiker :
ndiyo raha yakuwa nawatoto 😁😂😁
2025-08-04 15:00:52
4
chaz.lido
chaz ...@#lido :
zichapwe bas pambano ...😂 tujue
2025-08-04 06:29:12
4
kaifa.hussein
Kaifa Hussein :
marafiki sana hawa
2025-08-03 22:02:49
4
omarsalehe1235
ommy :
mm namfanyiaga x wangu
2025-08-03 20:33:35
3
etutumtagenda
Etutu Mtagenda :
ila wewe dogo Fei ni mkorofi kweli
2025-08-04 06:26:02
4
salimuhussein785
shella monster :
lipiza kisasi malipo apaapa
2025-10-03 17:50:49
2
To see more videos from user @feitoto06.0.backu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About