@favour3d__: Kupiga Sindano (Needle Punching) ni ufundi rahisi, wa kipekee na mzuri ambao unaweza kutumika kwenye karibu kila aina ya nguo. Mbali na zuria(carpets) Unaweza kutumia kwenye • Mablanketi (Quilt) • Mikoba ya mikononi (Purses) • Mifuko ya mto (Cushion Covers) • Taulo (Towels) • Vitambaa vya meza (Table Cloths) • Vitambaa vya kuweka sahani mezani (Place-mats) • Vitambaa vya mapambo ya meza (Table Runners) • Mapambo ya ukutani (Wall hangings) • Mikoba (Totes) na mengine mengi kadri ubunifu wako unavyoweza kufika! #punchingmachine #diycraft #diytools #needlepunch

FAV🧶R3D__
FAV🧶R3D__
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 August 2025 10:22:25 GMT
6480
124
40
5

Music

Download

Comments

all.the.hobbies1
Softgirlie.hobbies :
zipo bado??
2026-06-03 17:38:30
2
havencrochet4
hooked with love 🥰🥰 :
hey
2026-08-02 18:33:48
0
selyanzelle
god is good ✝️🙏✝️ :
please nahitaji hiyo mamiy
2026-03-26 11:01:02
0
sarahjulius816
MAMA_CHARMING🥰 :
naweza kuipata please
2025-09-30 15:06:52
1
user1711956193301
Agnes :
mnapatikana wap
2026-08-21 16:06:13
0
malika65602
malika :
bado zipo
2026-07-26 12:37:20
0
simplistermziray
simplistergrey :
we're ue at??
2025-08-04 03:49:05
0
msangi.mercy
Msangi Mercy :
mpo wapi naitaji hizo sindano
2026-08-17 11:06:46
0
achi_israel
Dr Achi Crochets🧶🤍🇹🇿 :
Ndo umeziita kupiga sindano😂 direct english to swahili translation
2025-08-03 18:29:27
1
till.mero
till mero :
Habari dada naweza kupata iyo sindano na ni shilling ngapi
2025-08-07 20:44:19
1
tynnahbby3
Butterfly 🦋 :
I need one ,unapatikana wapi ?
2025-08-04 07:28:52
0
itstopshoptz
itstopshoptz :
Woww new things everyday
2025-08-04 04:28:59
0
lizy6495
lizy :
habari unafanya derivery?
2025-08-15 15:42:09
0
havencrochet4
hooked with love 🥰🥰 :
bado zipo??
2026-08-02 18:33:55
0
furugutujr
FURUGUTU jr :
nahitaji punching needle
2025-10-06 16:45:37
1
To see more videos from user @favour3d__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About