@evelynwanjiru_a: We had a powerful worship moment this morning in Gods presence, we can’t wait to pour our hearts more this evening. Don’t miss the climax of Holy Ghost Sunmit. #holyghostsummit2025
evelynwanjiru_a
Region: KE
Sunday 03 August 2025 11:40:43 GMT
Music
Download
Comments
Dama :
Nitamwambia anipe mtoto🙏
2025-08-31 09:43:47
241
Warengaa :
Nitamwambya anibariki na ndoa 😭😭🙏🙏
2025-09-02 05:43:20
83
Qunee :
Nitamwambia mm na mm wagu tufunge ndoa
2025-10-03 20:09:46
0
Mrs stefan :
nitamwambia aniruhusu niwe mzazi
2025-08-05 19:49:08
201
juliet the great :
when you time comes God does things in mysterious ways until you cant believe whoever is reading this comment dont lose hope your time is coming
2025-08-03 14:28:27
249
mama alexa :
Nitamwambia mbona hakumponya my dad😭😭😭
2025-09-04 17:22:40
15
Memsy8540 :
Nitamwambia anibariki hata na mtoto moja tu,nitashukuru🙏
2025-08-04 05:48:10
62
Fahyee ❤️🎀 :
Mimi nataka mamangu awache pombe toooo kindly God hear this 💔😭🙏
2025-09-14 23:23:02
1
molyne kavugwi :
to completely heal my son from anul fistula 😭😭😭
2025-08-31 14:59:41
29
mcute :
nitakwambia aponye mama yangu.. that woman doesn't deserve the pain she's going through
2025-09-21 08:44:48
4
Tinesh :
To see my mum again,i miss her so much 😭
2025-08-30 17:56:34
15
TEE🎗️ :
Ntakwambia anipee KAZI nzuri jameni 😭tired of being jobless
2025-09-04 04:49:18
21
Liz baibe :
nikimuona ntamuuliza why did he allow me to parent my children single handedly. It's painful
2025-08-03 14:57:19
76
Jane_Cytra❤️ :
tamwambia abariki rafiki yangu na mtoto
2025-08-31 17:46:08
62
Dorcassasha :
Nitamwambia amponye mama yangu,she is going through alot of pain 😭😭
2025-08-31 09:57:42
20
Juddy.K :
nitamwabia aniponye😪😪
2025-08-03 18:09:49
50
charles wacheke (bull) :
mimi nikimuona nitamuuliza kwa nini huwa aninipenda na vile mimi ni muovu
2025-08-03 17:38:10
35
suzzette :
ntamwambia aponye babangu kidney
2025-09-05 15:25:46
18
lydiamokeira :
nitamuuuliza mbona mm nateseka ama sijuangi kuomba ama ako na watu wake favorite hata wasipoomba wanapewa tu anything they want
2025-08-03 19:58:41
15
Pascalina Samweli :
nitakwambia awabariki wazazi wang🙏
2025-09-13 13:25:35
3
valentinekagai :
Nitamwambia to intervene on my parents reunion and help my Dad on alcohol abusion,he's not himself anymore 😭😭😭things aren't ok🙏
2025-09-05 19:33:48
11
lisa_Sunza :
To heal my mom from cancer and the pain😭😭
2025-08-04 19:19:17
9
Shalom :
Nitamshukuru i love this song
2025-10-03 08:28:09
0
Angel Frank :
nitamuuliza kwanini aliruhusu kifo kimchukue mme wangu ndio familia yake ikaninyanganya kila kitu Mimi na watoto tunateseka😭😭😭😭
2025-08-30 21:43:51
8
DaMolgeo :
Nitamwambia aniondolee deni ya 2.5 million ili niweze kuwa debt free na Amani.
2025-08-30 18:12:50
1
To see more videos from user @evelynwanjiru_a, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.