@wakjulmaestroo: Amua kubalisha Maisha yako 📚🧠

𝐖𝐚𝐤𝐣𝐮𝐥 𝐦𝐚𝐞𝐬𝐭𝐫𝐨𝐨
𝐖𝐚𝐤𝐣𝐮𝐥 𝐦𝐚𝐞𝐬𝐭𝐫𝐨𝐨
Open In TikTok:
Region: MZ
Sunday 03 August 2025 16:50:49 GMT
353393
32410
1178
4178

Music

Download

Comments

wakjulmaestroo
𝐖𝐚𝐤𝐣𝐮𝐥 𝐦𝐚𝐞𝐬𝐭𝐫𝐨𝐨 :
lazma tuamkeni Familia nawapongeza sana wote kwenye coment section like💯
2025-08-04 09:03:12
401
cheleko.mexme
cheleko mexme :
Mimi ni mwanamke ila natumia code za huyu jmaa najion kuwa bora sanaaa 🔥🔥🔥
2025-08-03 17:04:22
321
eddythedon
eddy :
bro leo nasema tangu nmekufatilia aisee code zako zmenivusha mpk leo natembea navmbaaa💪💪resp bro
2025-08-03 19:13:56
61
engineerchriss1234
EngineerChriss :
tunaosema mwamba ameongea point gonga like hapa FAMILIA alfu tukapambane🙏💪
2025-08-04 22:31:38
165
pelina_dyaga
PELINA DYAGA :
MBONA MIMI HUWA SIFIKISHWAGI KILELENI 🥺💔
2025-08-06 14:56:52
17
26packzo
26packzo🦂 :
dua famlia😢🤔
2025-08-06 19:22:29
7
qwetuafricana254
KAMAU WA MA FRUITS :
wazazi wanazaaa watoto wengi wakijua hawana hela,wajinga sana,bro/siz enda bali tafuta hela ukisave na usizalishe,usijinyime raha,si wazazi wanazaa tu
2025-08-04 05:58:26
37
massmaddy7
MassMaddy07 :
Daaah sahihi kaka hakuna pakuegemea yan mm ndyo mm daaah 😭
2025-08-04 06:16:47
77
assia.mamy8
Assia Silva🇧🇮 :
Bro Allah akupe maisha mazuri apaduniani na Kesho kwake nimelia sn🥺🥺
2025-08-05 21:29:22
7
user8850130241071
nishimwe :
ndiko mana sitaka masiala kwenye mwaisha yangu
2025-08-06 11:33:28
5
abdougloire
abdougloire :
merci beaucoup grand frère pour votre Conseil
2025-08-04 05:45:58
5
user74530403800088
catherine :
kweli kakaangu kweli kabis asante kama unajua ninayopitia
2025-08-06 11:59:52
5
user1619570136019
Lsix :
ya Allah mpe riziki kila mwenye nia ya kufanikiwa kwa ajili ya wazazi wake na ndug zake pia...awa rehem na vipenzi vyetu
2025-08-08 20:54:37
8
madam.judy01
Madam Judy :
"Wazazi wenzangu… hebu tusiwe wachoyo kwa mabinti zetu. Tuwaambie ukweli kuhusu ndoa kabla hawajadumbukia huko bila kuelewa, kisha dunia ikawafundisha kwa uchungu. Waambie wajipambanie, wasimsubiri mwanaume aje kuwabadilishia maisha. 👩‍👧 Ni follow tujifunze pamoja."
2025-08-04 21:30:59
33
queenhusna_20
Queenhusna :
duuuh kaka Kuna power nimeipata kuptia ww ngoja niongeze nguvu
2025-08-04 20:36:30
8
kitipadangote0
Kitipadangote :
Kwa heshima kaka
2025-08-06 10:44:03
6
mwangamema
Hagai alfredy :
wale ambao hatuna wa kutengemea 🤝❣
2025-08-06 16:51:39
7
lenabraids
Lenabraids :
Point sana hayo ndio maisha yangu no mpenzi silewi siendi club ninawaza kupambama tu and i beliave hadi mwaka unaisha nitakuwa nimefika mbali sana 🙏🏻🔥🔥🔥 ur the best broo una maneno ya hekima sana📌
2025-08-04 17:28:45
30
user21754465903494
alani bariki :
nakusikiliza kwamakini kaka
2025-08-05 20:08:41
6
martha.banata
Martha Banata :
Asante familia ngoja nipambane maana coni wa kunisaidia zaidi ya MUNGU tu,eee MUNGU nisaidie na mm
2025-08-06 03:50:22
9
dzaster.tz
Dzaster Tz💯💔💔💔 :
yani adi kukripu hii video naona asala 🙏🙏🙏😭😭
2025-08-04 07:24:20
6
user1215407007284
Simon saigurani kilamian :
Wapambanaji Tujuane family 🤣🤣🤣
2025-08-07 02:12:54
5
officialommytz1
Ommy_hustler :
Daah w kweli family i proud of you bro
2025-08-04 09:14:58
7
user30132011170583
user30132011170583 :
San broo nakufatilia sana nipo congo hongera sana naona mabadiliko mungu akutunze
2025-08-04 19:24:22
6
mamenmiro4ever
sir miro :
Kwa heshima bro,more blessed
2025-08-06 15:28:35
5
To see more videos from user @wakjulmaestroo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About