Name of the song is Shangwe na Vigelegele by Zionic International Ministers 🥰🥰🥰
2025-08-05 10:51:54
26
Last born 💖💕 :
Name of the choir please
2025-08-04 14:02:30
2
Doline Mboga :
mimi si mwe SDA lakn hii wimbo imeniguza rohoni 🙏🙏
2025-08-08 12:26:22
22
suleiman mahmood :
Please pastor can we get live broadcast
2025-08-04 08:25:12
6
nyar migori :
alafu usikie mtu anakwambia SDA ni umalaya Tu na maringo waacheni Sisi tubaki kwa sabato yetu
2025-08-04 20:30:16
10
Adui wa umaskini :
Alafu kuna juma ananipenda anataka nijoin dini yao nimemwambia sibanduki kwa wasabato 😂😂😂
2025-08-05 14:42:58
16
Basra queen 👑 :
mbona hii wimbo sipati YouTube Kwani iko wapi mtu aniambie plz
2025-08-05 15:48:32
2
FIONA :
sahii najua tu kuna mtu atazunguka tu from one makambi to another makambi Hadi ii mwezi iishe
2025-08-04 16:22:06
17
Caleb Chepkoen :
alafu mtu ananiambia niache kuwa msabatoo
2025-08-04 17:40:12
16
💗❤️🔥Jepkoech✨❤️ :
kuacha SDA NO...tunaacha ya dunia Mimi na nyumba yangu lazima tumlaki Yesu mbinguni
2025-08-05 06:03:14
5
Tapkigen songol :
Aki pst 🙏 I think wen I die,u will be the preacher,Kwa burial yngu.pamoja Gaigat.choir.yaaani chariots.🫂🫂
2025-08-04 14:14:00
3
💙jupiter🌏🌐💓💙 :
alaf mtu aniambie niache SDA 💓💓nefaaa niende wapi am here to stay happy camp meetings from sultan Hamud district 🫂💓💓💓🙏🙏
2025-08-04 17:26:32
9
Nyakwar Saddam :
Saa hii watu wa sda kwa Sasa hatushikiki 😂😂😂tuko busy na makambi....
2025-08-07 01:28:01
4
Naomi :
Nani mwingine ameuona mkono wa Bwana 🙏
2025-08-06 15:48:26
10
Elikana Amon25 :
Jina la nyimbo please 🙏🙏
2025-08-04 15:30:15
1
starah :
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.🙏🙏🙏
2025-08-04 17:09:54
19
African Nightmare :
mimi ni msabato but i think God wants me to quit and go to voice of salvation i don't know why?
2025-08-05 08:50:20
1
dan daniko :
mkitoka hpo mnaenda kukulana , binguni mtaiona tu kwa viusasa
2025-08-14 11:14:40
1
fadhilaokinda :
wale wa kulikiana video 6/6😂
2025-08-15 14:37:45
4
zephanniah4 :
hiii choir n fire ilikua church yetu last year camp meeting
2025-08-04 19:19:10
1
To see more videos from user @cleophaslagat, please go to the Tikwm
homepage.