@kidu_works: JAMAA ALIKUA ANAJUA🔥🔥 BSS 2010, alijitokeza Mzungu aliyejulikana kwa jina la Joseph Pyne. Pamoja na kuwa si Mtanzania kwa kuzaliwa, Pyne alionyesha umaridadi wake katika kuimba nyimbo za Kiswahili kwa ustadi wa kuvutia, akizikonga nyoyo za mashabiki wengi waliomshangilia kama mmoja wao. Licha ya kushika nafasi ya tatu, Pyne aliwakonga watanzania jambo lililosababisha sintofahamu kwa baadhi ya mashabiki waliodai kuwa alipaswa kuwa mshindi wa kwanza wa shindano hilo. Lakini stori haikuishia hapo, kupitia majukwaa ya mtandaoni kama Jamii Forums, kulizuka tetesi nzito kuwa Pyne hakuwa tu mshiriki wa kawaida, bali eti alikuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA, aliyekuwa na jukumu maalum nchini Tanzania. Wengine walidai kuwa uwezo wake wa "kujichanganya" kirahisi na jamii, pamoja na umahiri wa lugha, ndio uliomfanya apenye hadi kwenye mashindano ya muziki maarufu. Japo madai haya hayakuthibitishwa rasmi, pyne anabaki kuwa sehemu ya historia ya BSS. Je, ulikuwa wapi kipindi Pyne anafanya yake? #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokburundi🇧🇮 #trendingnow #trending #viral #fyp #bss #bongostarsearch #music #2010 #reels #fyppppppppppppppppppppppp #7media
kidu_works
Region: TZ
Monday 04 August 2025 11:25:34 GMT
Music
Download
Comments
rinus :
joseph phyne alibaniwa na master jay
2025-08-06 05:57:26
62
Tryphone Arusha Covers🙌🏾 :
Kama na wewe ndo mara ya kwanza kuona hii video like hapa😂😂😂😂😂
2025-08-05 08:36:01
718
Fake smile 😁 :
Mnauhakika uyu jamaa ni mzungu🙌🫡
2025-10-01 14:43:05
0
Ballopixel :
amekua mweus sikuiz ndio dogo paten
2025-08-04 18:36:31
266
Mizzy_Mood :
Wanawake wote hao weusi unawaona apo sahv wote ni weupe 😂😂😂
2025-08-04 18:31:44
145
-m@y :
duh 2010 nko darasa la pili huyu simjui kwakwel😅
2025-08-04 19:46:08
47
@kp😜_kemar78👑 :
appreciate
2025-10-02 17:24:20
0
Credo__01 :
Wimbo unaitwa je?
2025-08-04 19:43:18
12
øffìcíål_mata :
😁😁😅😅😅 mzungu gan uyu anamjua hadi kasimu mganga
2025-08-04 19:13:11
60
chief sam :
vitoto vya 2000 haviwezi mjua mzungu
2025-08-04 18:32:13
23
kastude_ :
Nyimbo inaitwaje 🙏🏻
2025-08-05 19:25:48
6
Bachan :
nyie laleni uyu alikuwa wa CIA alikuwa bongo Kwa kazi😁
2025-08-05 05:35:24
4
Fardmimi :
Kajibadilisha ndio dogo rema🥺
2025-08-04 19:48:57
4
MWEWE OG 🦅 :
duuh bss imetoka mbali 😂
2025-08-06 00:07:17
10
WILLIAM . S . CHIPANGA :
KABADILIKA SAIV DOGO REMA
2025-08-05 22:12:51
3
Ahmed Ally :
Wimborne unaitwa GOMA LA MANZESE kaimba TUNDA MAN FT MADEE
2025-08-07 11:41:31
2
Musima siranjofu :
jina la wimbo tafadhali
2025-08-05 18:24:59
2
matoomatano3 :
huyu ni Kazungu sio mzungu😂
2025-08-31 19:46:28
2
farisha :
Video 5 like nalipa
2025-08-05 08:29:13
5
deod❤️❤️ :
Huyu sidhan kama atakumbuk kurudi kwao 🥰😂
2025-08-04 19:14:12
32
HASSAN :
UYO MZUNGU SAIZ KABADILIKA NDO KAWA ANAJIITA DOGO LEMA 🤣
2025-08-06 08:15:54
4
Peter William :
mzung kichaa anaitwa ,watot wa 2000awamjuh uyo
2025-08-04 19:56:12
6
Emax_tronix :
😂😂😂huu ni mzunguko
2025-08-04 18:57:22
2
tëkäshï69 :
huyu sio msani ila anapenda Mziki 😂😂
2025-08-08 11:41:40
4
bruntix :
kassim mganga killed in this verse
2025-08-05 14:00:51
2
To see more videos from user @kidu_works, please go to the Tikwm
homepage.