Huu wimbo ukitoka nilikua kiambu, natenmbea kuanzia kirigiti aproved mpaka kiambu town , na nikifika huko nasubiri client mpaka linch time naenda kaimbu sokoni nanunua mokimo ya 30,narudi kazi nakaa mpaka jioni napiga mguu tena mpaka kirigiti approved, nikifika bro ametega vindege coz alikua anaishi kwa site flani hapo kama security tunapika ugali tunakula 😂😂😂😂
2025-08-05 08:00:10
37
Jeremy :
hii wimbo nilikua nasikia nikiwa nimepoteza kazi😭
2025-08-05 13:16:10
29
Nyambura Njoroge🧬 :
i remember walking from muthaiga -upto runda 😭😭sikuwa na fare ,yakutosha listening to this song 😭😭
2025-08-06 16:31:26
5
V😘I🍀c :
but why not save
2025-08-05 06:16:42
1
michaelmsabato :
ivii riziki nikupata au kukosa
2025-08-06 18:52:52
1
view _ once 21 :
Njo tulike vdeo tano
2025-08-06 03:21:22
3
MHRiziki🦋🥀 :
Seeing this na huko jobless halafu bado hukata tamaaa... gonga like hapa japo ni rudi nionee tena nizidi kukaza roho... Ila site tutapat Inshaa Allah🥰🥀
2025-08-06 06:45:01
6
SAM😋 :
title please 🙏🏼
2025-08-07 06:35:06
0
zikkie😌🌸🇰🇪 :
seeing this while jobless 🥹🥲💔
2025-08-05 14:16:50
10
neemamussa807 :
kipind unatoka huu wimbo bab wa mwanang ndy alfarik maisha magum yan dah
2025-08-06 23:55:00
2
#kellykelly :
😭😭😭 God help those in need
2025-08-05 07:29:42
16
user245415221878 :
nilisha ya Vaa Sina budi Bali kungangana nazo, naamini siku Moja zitanitoshea
2025-08-05 09:14:11
6
shi e 🦋❤️ :
i sang this song from home to Nairobi after finishing 4m four 😔
2025-08-06 08:24:39
4
Joseph katana :
emotional song lyrics
2025-08-05 16:32:14
4
bensonesipila :
wimbo kwa mwanaume...baba, bwana na mtoto wa mtu🥺
2025-08-05 18:19:54
3
@kel... :
this song keeps making me bitter with myself and anyone around me...it reminds me the death of my hero,,my dad😭😭💔...
2025-08-07 12:46:24
1
user6812146118397 :
umenikumbusha mbali nice 👍
2025-08-06 04:55:43
3
lydia willy💞 :
huyu mwamba anaimba reality kabisaa yaan Mungu am bless sana
2025-08-06 06:09:54
6
Sir Larry🌞 :
Reminds me of my past
2025-08-05 18:14:28
3
Judith :
This song yooh😭😭😭
2025-08-05 17:00:57
2
Unique :
huu ndo wimbo wangu pendwa
2025-08-06 20:02:49
1
Imma Charles🇹🇿🇹🇿 :
dah
2025-08-05 17:57:03
2
Abubakarythabiti8 :
ujue😭 katka aya maisha kunamajambo omba yasikukute
2025-08-06 15:42:43
2
Anna khayanga :
describe my life 😞😞😞
2025-08-08 15:28:49
1
To see more videos from user @mwalimuesther57, please go to the Tikwm
homepage.