@bin_amran: Nipende🤭

@Bin~Amran🤦
@Bin~Amran🤦
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 August 2025 18:51:00 GMT
40256
1512
32
643

Music

Download

Comments

thuyba91
Thuwayba Hassan :
Nipende siniumize niweke mwako moyoni. Nipende sinitatize kunitiyahi lakini. Nipende wajiulize kwangu wapendea nini. Wawili wakipendana adui hana nafasi. Nipende tuwashangaze kwa vidole mdomoni. Nipende na tuwafunze wasojua pendo nini. Nipende tuwangamize mahasidi na fatini. Wawili tukipendana adui hana nafasi. Nipende unichunguze mimi ninapenda nini. Nipende nipeleleze nachukia jambo gani. Nipende kwako nioze mwengine nisitamani. Wawili tukipendana adui hana nafasi. Nipende na unitunze ja mboni ilo jichoni. Nipende nibembeleze kwa maneno malaini. Nipende tuwamalize choyo kinowazaini. Wawili tukipenda adui hana nafasi. Nipende tucheze cheze michezo ya utotoni. Nipende unikimbize kwa foliti rede ndani. Nipende sijiregeze mapenzi nayo ni fani. Wawili tukipendana adui hana nafasi. Nipende unihimize kumuabudu manani. Nipende nisisitize nichume vya halalini. Nipende tujitokeze tukiwa sote peponi. Adui hana nafasi wawili tukipendana. Nipende unidekeze ja mwanao wa tumboni. Nipende unimalize kutwa uwe mawazoni. Nipende jipendekeze nitakupenda mwandani. Wawili tukipendana adui Hana nafasi. Nipende sinichagize kwa maisha yangu duni. Nipende sinihereze ukinitia dhikini. Nipende wasichomoze wabaya kutufitini. Wawili tukipendana adui hana nafasi.
2025-08-06 06:29:58
5
hajrah.adam
Hajrah Adam :
shair nilikua nalitaftaga jmn hatimae
2025-08-09 18:58:14
1
anty.sofia
anty Sofia :
Mashaallah
2025-08-05 07:56:25
0
abubakarabdi537
abubakarabdi537 :
yaasalam
2025-08-07 11:24:31
1
officiallydecentman05og
@officiallydecentman :
yaaaa salaaam mashallah 🥰
2025-08-05 05:42:07
1
sykes_81
Paperboy :
ممتاز الحبيب
2025-08-06 09:03:01
1
khamisabeid992
Mr, unguja :
Nipenda
2025-08-11 09:35:54
1
maadiiii47
MADii :
🥰😘🦋🌹❤️my 💍 ♥️🔐 🌹 🥰 🧸
2025-08-05 08:07:16
1
abuuhafswamunsheedu1
abuuhafswamunsheedu :
Yaa Salaaam 🥰🥰🥰
2025-08-04 18:55:39
5
99jimbi1
99jimbi :
uko vizuri sana kaka
2025-08-04 19:23:00
1
user8178684982198
zuuuuu :
vitu vyangu hivo jaman!
2025-08-05 19:32:49
1
ummi.ibrahim214
ummu Ibrahim :
nice shair
2025-08-10 16:22:23
1
yahyamuller460
YMULLER :
@Thuwayba Hassan 😁
2025-08-06 04:53:47
1
baby.kidoti
baby kidoti ❣️ :
❤️❤️💞
2025-08-05 07:43:21
2
abdul.bonge1
abdul bonge :
🥰🥰🥰
2025-08-04 19:24:19
2
ashymamy.hilal
Ashymamy Hilal :
🥰🥰🥰
2025-08-04 19:20:56
2
zainguzo
Zaynabnguzo15 :
🥰🥰
2025-08-04 19:20:36
2
user1255762250505
mytham🤗 :
😅
2025-08-07 08:13:04
1
the.truth2965
Nassra Said :
🥰🥰
2025-08-06 06:14:13
1
dida_suleiman93
shahsu :
😁
2025-08-05 17:53:17
1
user7634664779793dida
dida :
🥰🥰🥰
2025-08-05 17:07:59
1
subira6988
subira :
🥰🥰🥰❤️
2025-08-05 14:18:04
1
user4981412815816
Abal kassim :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-08-05 10:16:59
1
masturahesmin
Charo :
🥰🥰🥰
2025-08-05 04:37:54
1
user6052995792855
user6052995792855 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2025-08-04 21:56:58
1
To see more videos from user @bin_amran, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About